Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hao duce sidhani kama huwa wanachukua watu waliosoma nje ya udsm,so kama umesoma chuo kingine hawawezi kukuita.huwa wana list ya watu wao waliosoma udsm kabisa wanaowataka.
 
Mzumbe wametoa ila interview ilikua Chin ya psrs
Hapo chuo kimepush ili kipate nguvu kazi.

Taasisi zingine zimelala tu ili waendelee kupiga kazi maalum kutokana na ukosefu wa nguvu kazi.

Subira iendelee kwa wote waliofanya oral
 
Hahahahaa, Daah hata bado sijawahi kwenda oral mkuu.

Basi hii heri ikawe ili nifike oral
😂😂😂😂asaivi lazima uende kiongozi tuombe uzima tu ,sema hawa watu wanatukanda sana aiseeh juzi niliulizwa swali kwenye oral ambalo sikutegemea afu huwa naliona nasema hili hawawezi kuuliza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asaivi lazima uende kiongozi tuombe uzima tu ,sema hawa watu wanatukanda sana aiseeh juzi niliulizwa swali kwenye oral ambalo sikutegemea afu huwa naliona nasema hili hawawezi kuuliza
Naomba utupe miongozo ndugu kada ipi na uliulizwa maswali yepi kwa ujumla?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom