Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ohy wadau.. hili swali la "kwann tukuajiri" tunaweka points gani hapa au ndo kama zile za quality of public servant..?
Maana hawa waajiri wanajifanya kama hawaelewi, hv me na ujobless huu si Huwa nataka kazi ili nipate hela tu..
Anyway nipeni majibu hapo wakulungwa.
Mwifwa
wizy
kyagata
 
hapo inatakiwa ujibu unavitu gani special kuzidi mwingine katika kutimiza kazi ya muajiri wako
 
Ohy wadau.. hili swali la "kwann tukuajiri" tunaweka points gani hapa au ndo kama zile za quality of public servant..?
Maana hawa waajiri wanajifanya kama hawaelewi, hv me na ujobless huu si Huwa nataka kazi ili nipate hela tu..
Anyway nipeni majibu hapo wakulungwa.
Mwifwa
wizy
kyagata
Nadhani hili swali huwa linaendana na la utumishi "do you think why are you qualify to be labda medical officer???"
 
Niwekee 2 unaziona ni common,, zingine nitajazia mwenyewe
inategemeana na zile duties walizoweka
1. unaweza kusema because i am competent in dose verification since i have experience of 2years in this field not only that but also am able to calibrate medical equipment
 
Nikajua mzumbe kwa kazi za ulecturer huwa wanachukua products zao tu,kumbe wanachukua na kwingine?

Hahaha, nadhani tulikuwa na mtazamo mmoja Mkuu, na mimi lengo la kuuliza hili swali, ni kudadisi juu ya hizo tuhuma za kucancell wa vyuo vingine. Nawafahamu pia jamaa zangu wawili walimaliza IFM ila wanafundisha UDSM kwa sasa.

Japo ni kweli inawezekana products zilizotolewa na chuo zikawa more competitive kwenye mchujo kuliko wageni.
 
Ohy wadau.. hili swali la "kwann tukuajiri" tunaweka points gani hapa au ndo kama zile za quality of public servant..?
Maana hawa waajiri wanajifanya kama hawaelewi, hv me na ujobless huu si Huwa nataka kazi ili nipate hela tu..
Anyway nipeni majibu hapo wakulungwa.
Mwifwa
wizy
kyagata

Hahaha, jamaa wanajidai hawajui kwamba kwa sasa lengo lako kuu ni uhakika wa kupata pesa.
 
Back
Top Bottom