Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Vyuo vikuu vinaendesha mchakato wenyewe ndio maana vinawahi kutoa majina vyuo vya kati kila kitu kiko utumishi ndio maanaMbona wametoa mkuu yani must wamefanya 30 Sept na wameshatoa tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuo vikuu vinaendesha mchakato wenyewe ndio maana vinawahi kutoa majina vyuo vya kati kila kitu kiko utumishi ndio maanaMbona wametoa mkuu yani must wamefanya 30 Sept na wameshatoa tayari
Hata ukiangalia zile pepa za TA za vyuo vya kati unaona kbsa zimetoka utumishi sidhn kama vyuo vimehusika kutung maswlVyuo vikuu vinaendesha mchakato wenyewe ndio maana vinawahi kutoa majina vyuo vya kati kila kitu kiko utumishi ndio maana
Nadhani ndio maana wamechelewa kuita watu kaziniHata ukiangalia zile pepa za TA za vyuo vya kati unaona kbsa zimetoka utumishi sidhn kama vyuo vimehusika kutung maswl
Vyuo hawachelewag sijui why kada zingine inachukua muda sanaWatatoa tu mzee sema hizi za supporting zinachukuaga muda duh labda iwe bahati ila za kufundisha soon wataachia mikeka
Ukakutana na mkando sio wa nchi hiiNilifanya pepa moja ya TA ICT nikakutana na swali linasema as system admin...nahisi mzigo ulikua wa system admin tukaja kandwa nao sie 🤣🤣
Hapa kuna ukweli 100%Hata ukiangalia zile pepa za TA za vyuo vya kati unaona kbsa zimetoka utumishi sidhn kama vyuo vimehusika kutung maswl
Uzi una tembea na kubadilika badilika, sema kwa kiasi kikubwa haujapoteza maudhui yake zidi ya utumishi,. Naona vijana sasa wanakumbuka waliyokumbana nayo katika writen,. Kuna mdau kuna kipindi kifupi alileta habari za Ukrain, akala kona,. Mambo ni mengii.Humu Ndani Kuna kuna watu waajabu sana.. mmeishia kupeana moyo kuhusu saili,, hii wiki imeanza siku la pili hamna chochote
😂😂😂😂Watu Wanastress za utumishiUzi una tembea na kubadilika badilika, sema kwa kiasi kikubwa haujapoteza maudhui yake zidi ya utumishi,. Naona vijana sasa wanakumbuka waliyokumbana nayo katika writen,. Kuna mdau kuna kipindi kifupi alileta habari za Ukrain, akala kona,. Mambo ni mengii.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uzi ushavamiwa na Warusi na Waukraine.
PSRS wanataka kutuzuga, hiyo tushaijadili na kuisahau.Hiyo wamechelewa tu kuweka duce waliweka muda tu kwenye web yao
MUST wametia fora kwenye employment, wako fastInshallah kaombe za must wamepost wanataka TA wa information security
Umeona eeh wanafanya kama kutupoza wakati tulishaiona muda tu watoe placement na shortlist watu wajue waendelee na mishe zinginePSRS wanataka kutuzuga, hiyo tushaijadili na kuisahau.
Walete placements mpya
Hawacheleweshi waleMUST wametia fora kwenye employment, wako fast
Duh kumbe kuna mikeka kibao iko pendingWale tunaosubiria mkeka mwingine wa UDSM na SUA tukutane hapa.. Acheni huu wale Leo au SUA iliyopita Kuna mingine ilitangazwa twaisubiri
Kwa mtazamo wako ni uzembe au mambo ni mengi kwao.Jobless sikua na MB Toka Jumapili nimepata bando now Uzi unakimbia kweli aiseee sema nimesoma page kumi zote Kifupi ni kwamba process ya kutangaza kazi, then shortlist itoke, then placement, then kulipoti ,then usubiri upigiwe simu kupangiwa kituo cha kazi inachukua mda sana wazee afu kitu kingine ambao hamjui mfano siku nimeenda chukua barua barua tarehe yake imetoka mwezi wa nane huko wanakuita kuchukua barua baada wa mwezi na siku kama kumi fikiria wanakuita kuchukua barua tarehe 29 barua imetoka tarehe 12 mwezi wa nane
Sina jibu hapo mkuu kwa kweli sijui maybe ndo utaratibuKwa mtazamo wako ni uzembe au mambo ni mengi kwao.