Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Vyuo vikuu vinaendesha mchakato wenyewe ndio maana vinawahi kutoa majina vyuo vya kati kila kitu kiko utumishi ndio maana
Hata ukiangalia zile pepa za TA za vyuo vya kati unaona kbsa zimetoka utumishi sidhn kama vyuo vimehusika kutung maswl
 
Humu Ndani Kuna kuna watu waajabu sana.. mmeishia kupeana moyo kuhusu saili,, hii wiki imeanza siku la pili hamna chochote
Uzi una tembea na kubadilika badilika, sema kwa kiasi kikubwa haujapoteza maudhui yake zidi ya utumishi,. Naona vijana sasa wanakumbuka waliyokumbana nayo katika writen,. Kuna mdau kuna kipindi kifupi alileta habari za Ukrain, akala kona,. Mambo ni mengii.
 
😂😂😂😂Watu Wanastress za utumishi
 
Jobless sikua na MB Toka Jumapili nimepata bando now Uzi unakimbia kweli aiseee sema nimesoma page kumi zote Kifupi ni kwamba process ya kutangaza kazi, then shortlist itoke, then placement, then kulipoti ,then usubiri upigiwe simu kupangiwa kituo cha kazi inachukua mda sana wazee afu kitu kingine ambao hamjui mfano siku nimeenda chukua barua barua tarehe yake imetoka mwezi wa nane huko wanakuita kuchukua barua baada wa mwezi na siku kama kumi fikiria wanakuita kuchukua barua tarehe 29 barua imetoka tarehe 12 mwezi wa nane
 
Kwa mtazamo wako ni uzembe au mambo ni mengi kwao.
 
Back
Top Bottom