Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kulikua na positions mbili moja kwa wakati mmoja nikachagua kufanya moja nyingine nikapotezea, ile niliyofanya nikatoboa mpaka oral.

Ile ambayo sikufanya status inasoma Shortlisted for Interview

Ile ambayo nimefanya status inasoma Shortlisted.
 
Uliyofanya zilikua nafas ngap na position gan?
 
Kulikua na positions mbili moja kwa wakati mmoja nikachagua kufanya moja nyingine nikapotezea, ile niliyofanya nikatoboa mpaka oral.

Ile ambayo sikufanya status inasoma Shortlisted for Interview

Ile ambayo nimefanya status inasoma Shortlisted.
Sasa mimi Nina status
1.shortlisted hii nilifanya juzi
2.shortlisted hii nilifanya mwaka jana lakini sikupata
3.not selected for oral hii nilifanya mwaka jana
4. Selected for oral hii nilifanya mwaka jana nikakosa
5.shortlisted for interview psrs no.hii sikufanya
 
Unaona sasa fujo unazofanyiwa.
Hakika hizi ndizo KUKURUKAKARA zinazotusibu waomba ajira. Tutafika tumechoka mno.
 
Suala la application status linataka kuwa kizungumkuti.

Mwaka jana niliomba kazi ya "afisa matunda" kwenye "wizara ya matunda". Zilitangazwa nafasi 2, nilifika oral lakini sikufanikiwa kuitwa kazini.
Application status yangu ilibaki kuwa selected for oral

Mwaka huu kwenye mkeka wa taifa (wenye nafasi 1904), zimetoka nafasi zaidi ya 100 za "afisa matunda" katika wizara ileile (ya matunda), na nimeomba. Application status ya nafasi hii ya mwaka huu, inasoma received (hapa sina shaka kwa sababu bado hawajaita interview).

Kizungumkuti kinakuja pale ambapo status ya nafasi ya afisa matunda (ya mwaka jana) ambayo niliishia oral, ilipobadilishwa kutoka kwenye selected for oral kwenda kwenye SHORTLISTED.

Hiki kitendo ni kidogo sana lakini kinamuwazisha sana jobless huyu anayetaka kuwa afisa matunda.

.... huku nikiweweseka kiwendawazimu....
Wakati unaendelea kuweweseka kiwendawazimu, PSRS nao huenda wanayeyuka na kanzi data, mara paap umo
 
Unaona sasa fujo unazofanyiwa.
Hakika hizi ndizo KUKURUKAKARA zinazotusibu waomba ajira. Tutafika tumechoka mno.
😂😂😂Yani mpaka hapo wameshaniua maana nilijua status itarudi kama mwanzo lakini naona ngoma ngumu aseeeh
 
Watakua wametenda ulumbi wa kimedani, kwa kuniondolea hali ya mtanziko (mazingira mwanambiji).
Huku wakiniacha na furaha bojobojo
 
Lakini nafikiri hazina effect labda
Kwa kauchunguzi kangu kadogo nimegundua jamaa zangu wengi waliofika oral, status zao zimeandikwa shortlisted.

Nadhani hakuna lolote la maana tunatakiwa kulitegemea kutokea hapo.
 
Back
Top Bottom