Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Bilashaka kuna pdf zinakuja sasa system inayumba yumba ku upload mzigo wa maana,usikute pdf kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio sio muda mzigo unatoka ndo inakuaga hivyoBilashaka kuna pdf zinakuja sasa system inayumba yumba ku upload mzigo wa maana,usikute pdf kubwa
Ukiona hivyo jua Mkeka unakaribia mkuu andaa suti pamoja na booking pale morena kuchukua barua ya kaziHizi status za account zinachanganya sana leo tena imebadilika from shortlisted to selected for oral interview.....
I wish iwe hivyoUkiona hivyo jua Mkeka unakaribia mkuu andaa suti pamoja na booking pale morena kuchukua barua ya kazi
😂😂😂😂😂Ngoja nipige pasi suti yangu hapaUkiona hivyo jua Mkeka unakaribia mkuu andaa suti pamoja na booking pale morena kuchukua barua ya kazi
😂😂😂😂amna mzee hapa tunaongea tu asa jobless unakuwa na suti yanini??au suti yakufanyia utapeli hahhhKumbe ukiend chukua barua unatakiw uvae suti?
Kabisa, maana zinabadilika badilika Leo shortlisted kesho selected for oral interview.Tushahitimisha kuwa, kama umefanya oral. Achana na kuhangaika na status, subiri PDF ya placement ndio ina ukweli pekee baada ya kupiga oral.
Tunazisubiri😂Bilashaka kuna pdf zinakuja sasa system inayumba yumba ku upload mzigo wa maana,usikute pdf kubwa
Imesharudi kawaida sasaKabisa, maana zinabadilika badilika Leo shortlisted kesho selected for oral interview.
Kule naona haibadilikagi ikitulia imetuliaKwa wale wasiopenda STATUS kubadilikabadilika nawashauri watumie APP yao huko status haibadiliki kama huku lwenye browser zetu.
Naona ni vile vile tuu.Kule naona haibadilikagi ikitulia imetulia
Kwenya app kule au?Naona ni vile vile tuu.
Ilikua shortlisted imebadilika
selected for oral interview
Kuna CBE, IFM, MWEKA na vyuo vingi tu vimejisahaulishaADEM kimyaaa
Usikute watu washapigiwa simu huko
Halafu wengne tunasubir upepo
🤣🤣🤣🤣Una mawazo kama yangu aiseeADEM kimyaaa
Usikute watu washapigiwa simu huko
Halafu wengne tunasubir upepo
Kua na subra mkuu hamnaga huu utartibu placement itawekwa soon kama rizki ipo utaipata tuADEM kimyaaa
Usikute watu washapigiwa simu huko
Halafu wengne tunasubir upepo
Kua na subra mkuu hamnaga huu utartibu placement itawekwa soon kama rizki ipo utaipata
Mi ninavyojua usaili unaoendeshwa na psrs kuitwa kazini ni kutoa majina kwenye pdf...DUCE ni chuo kikuu usaili wameendesha wao wenyewe kwa usimamiz wa psrs kwa hiyo kuna uyofaut wa ADEM,IFM,NIT,ATC na vyuo vikuuDuce walianza kupigiwa lakini