Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Ndio maana mikeka ya vyuo vikuu mingi imeanza kutoka baadae ndo ukawekwa kwenye website ya ajiraMi ninavyojua usaili unaoendeshwa na psrs kuitwa kazini ni kutoa majina kwenye pdf...DUCE ni chuo kikuu usaili wameendesha wao wenyewe kwa usimamiz wa psrs kwa hiyo kuna uyofaut wa ADEM,IFM,NIT,ATC na vyuo vikuu