Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nimepata chimbo langu la bei rahisi huku nzuguni.bei ya room per day ni elfu 8,maji yapo,na chumba ni kizuri tu.mtaani chai kikombe ni 200/=,andazi 200/= chapati ni 300/=.supu inaanzia 1000/=,ugali dagaa ni kuna wa 1000/= na wa 1,500/=.
Naamini nimepunguza cost mno tofauti na ningekaa maeneo ya town huko.
Wapi hapo?
 
Daah, nimepanda basi la vimbwengo(NBS), sijaridhika na mwendo, hapa kufika ni saa tisa kabisa.

Shukrani mkuu
Mwendo sikuukubali ila nimefikishwa mapema tangu nianze kusafiri kuja Dom kutoka Dar. Saa saba na robo inapumua nanenane stand.

Kumbe siku hizi gari zinafika saa 6 Dom, maana gari zingine(za Mwanza) zilituacha mbali huko nyuma.
 
Back
Top Bottom