Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wameleta maswali 2 kuhusu Auditing ikibase kwenye kada yangu.

Maswali mengine 2 yapo kwenye practice ya kada yangu pia, kati ya haya 2, moja lilikuja kwenye written yangu ya kwanza. Ila kilichonigharimu ni kile tunachosemaga PSRS hawarudii maswali, hilo swali sikulifanyia revision ila naweza kuokoteza hata chache
Jiandae na oral mkuu hii tumewakanda naamini
 
Wameleta maswali 2 kuhusu Auditing ikibase kwenye kada yangu.

Maswali mengine 2 yapo kwenye practice ya kada yangu pia, kati ya haya 2, moja lilikuja kwenye written yangu ya kwanza. Ila kilichonigharimu ni kile tunachosemaga PSRS hawarudii maswali, hilo swali sikulifanyia revision ila naweza kuokoteza hata chache
Utaenda oral,majibu wanatoa lini?
 
Amiin amiin ila wanachelewa sana, yaani ya MUHAS tumefanya mwezi huu lakin placement tayari. MUCE na IAE tangu September lakin hadi leo holaa
Labda za MUCE zilisimamiwa na utumishi full ndo maana zimechelewa lakini naamini week hii mikeka itakuwa wazi
 
Utaenda oral,majibu wanatoa lini?
Tarehe 2.

Hii guideline imenipatia concept za maswali 2 ya Auditing
Screenshot_20221008-072732.jpg
 
Back
Top Bottom