Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ajira zinatoka kwa vibali toka utumishi, wakikosa kabisa wenye sifa sitahiki wataomba tena mwaka mwingine wa fedha kibali cha kuajiri TA, si kama unavyojaribu kuwaza, sifa kuu ya serikali ni kufanya kazi kwa mujibu wa sheria, kanuni, & taratibu .
 
Back
Top Bottom