Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

NIMEANGALIA USAILI WA SEPTEMBER 10 MPAKA 12
1.Bugando (BMC)
2.Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), 3.Hospitali ya Kikristo ya kilimanjaro (KCMC),
4.Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH),
5. Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),
6.Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),
7.Bodi ya Usajili wa wakandarasi (ERB), 8.Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI),
8.Baraza la kiswahili la Taifa (BAKITA),
9.Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi
(NACTEVET),
10. Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA) na 11.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
HAO WOTE HAPO WANASUBIRI PLACEMENTS
View attachment 2401273
 
🙌🙌🙌🙌🙌Aisee list ni ndefu
 
SEPTEMBER 5 MPAKA 9
1.Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA),
2.Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI),
3.Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na
Wakadiriaji Majenzi (AQRB),
4.Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA),
5.Kitengo cha Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU),
6.Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR),
7.Wakala wa Vipimo (WMA),
8.Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA),
9.Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI),
10.Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo
wa Juu wa Petroli (PURA),
11.Baraza la Famasia Tanzania (PCT), 12.Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO), 13.Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST),
14.Water Institute (WI),
15.Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) na 16.Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW)
NA HAO PIA WANASUBIRI KULAMBA ASALI
TUENDELEE KUVUTA SUBRA MAANA JAMAA WANAFOLENI LA TAASISI
Capture%2B_2022-10-29-17-04-15.jpg
 
SEPTEMBER 5 MPAKA 9
1.Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA),
2.Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI),
3.Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na
Wakadiriaji Majenzi (AQRB),
4.Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA),
5.Kitengo cha Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU),
6.Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR),
7.Wakala wa Vipimo (WMA),
8.Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA),
9.Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI),
10.Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo
wa Juu wa Petroli (PURA),
11.Baraza la Famasia Tanzania (PCT), 12.Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO), 13.Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST),
14.Water Institute (WI),
15.Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) na 16.Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW)
NA HAO PIA WANASUBIRI KULAMBA ASALI
TUENDELEE KUVUTA SUBRA MAANA JAMAA WANAFOLENI LA TAASISIView attachment 2401282
Balaa na nusu kaka
 
NIMEANGALIA USAILI WA SEPTEMBER 10 MPAKA 12
1.Bugando (BMC)
2.Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), 3.Hospitali ya Kikristo ya kilimanjaro (KCMC),
4.Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH),
5. Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),
6.Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),
7.Bodi ya Usajili wa wakandarasi (ERB), 8.Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI),
8.Baraza la kiswahili la Taifa (BAKITA),
9.Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi
(NACTEVET),
10. Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA) na 11.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
HAO WOTE HAPO WANASUBIRI PLACEMENTS
View attachment 2401273
PDF itakuwa nzito sana
 
Twende mbele turudi nyuma jamani, Mama kwenye ajira anaupiga mwingi kama Mayele
 
Nahisi kinachochelewesha ni uaandaaji wa barua kwa kila mmoja maana PDF likitokaga huwa wanasema mkachukue barua jambo ambalo huwezi kudhani barua zinaandaliwa siku hiyo ukienda.

Placement iliyopita wadau walisema barua zilionesha zimeandaliwa muda mrefu uliopita, hilo linathibitisha hili ninalohisi.

Hivyo basi, wasubiri placement endeleeni na maombi na subira!
 
Nahisi kinachochelewesha ni uaabdaaji wa barua kwa kila mmoja maana PDF likitokaga huwa wanasema mkachukue barua jambo ambalo huwezi kudhani barua zinaandaliwa siku hiyo ukienda.

Placement iliyopita wadau walisema barua zilionesha zimeandaliwa muda mrefu uliopita, hilo linathibitisha hili ninalohisi.

Hivyo basi, wasubiri placement endeleeni na maombi na subira!
Ni kweli na unakuta Kila mtu ana details zake ndani ya barua ambazo zinatofautiana na za mwingine.. kwakweli ngoja tuendelee kuwa wapole
 
Back
Top Bottom