Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unajua experience kwenye hizi interview inasaidia sana mimi oral yangu ya kwanza kuingia nilikuwaga sijui wanaulizaje sasa sinikaenda nimejiandaa zile sijui what is your weakness na ile why we should hire you and not others
aseeh nilipigwa maswali mpaka nikajiuliza sasa mbona maswali niliyodhani watauliza hawajauliza hata moja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu Wewe umejifunza vitu Sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu Wewe umejifunza vitu Sana
😂😂😂😂acha kiongozi unajua niliendaga nimemeza weakness zangu nikajua hapa hawachomoki sasa ikanza education background nikajibu nikaona kumbe nawamudu hawa sasa sijakaa vizuri wakaanza zile duties wakati huo nilikuwa naikumbuka moja tu halafu wanataka tano nikasema asa haya ndo maswali gani ,sijakaa vizuri nikaulizwa methods zinazotumika kwenye kazi yangu hapo ndo nikaona eeeh kumbe Hawa jamaa wapo serious kunikanda aseeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kiongozi unajua niliendaga nimemeza weakness zangu nikajua hapa hawachomoki sasa ikanza education background nikajibu nikaona kumbe nawamudu hawa sasa sijakaa vizuri wakaanza zile duties wakati huo nilikuwa naikumbuka moja tu halafu wanataka tano nikasema asa haya ndo maswali gani ,sijakaa vizuri nikaulizwa methods zinazotumika kwenye kazi yangu hapo ndo nikaona eeeh kumbe Hawa jamaa wapo serious kunikanda aseeh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah nacheka lkn najifunza maana km nakuona vile siku hiyo ilikuwa yamoto sana
 
Mkuu weka maswali yote kwa mtililiko utatusaidia sana nakuomba.

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Kwanza kabisa swali la kwanza Tell us about your education background
2. Swali la pili duties zako zile lakini hawakuulizi direct huwa wanaanza tofauti kidogo unaweza usielewe kama wanataka duties zile Kwahiyo kuwa makini usipaniki
3.Swali la tatu ujuwe challenge za kazi yako na hapa wewe ndo inabidi uoneshe unajua sasa na jinsi yakuzisolve hizo challenge
4.kuanzia la nne sasa hayo ni technical questions zinabase kwenye zile duties Kwahiyo isome kila duties uelewe inavyofanyika na kingine soma notes za course yako
Nadhani mpaka hapa mzee ukipita humu basi jiandae tu kwenda kuchukua barua
Hebu jaribu kuyafata haya yanaweza kukusaidia
 
Shukurani mkuu

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom