😂😂😂😂ona huyu kaja kunipanikisha hapaUnajiamin akat ushaandikiwa shortlisted mkuu 🤣 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂ona huyu kaja kunipanikisha hapaUnajiamin akat ushaandikiwa shortlisted mkuu 🤣 🤣 🤣
😂😂😂😂😂Situlikubalia zile status hazina effect au mshanigeuka tena hahhhhUnajiamin akat ushaandikiwa shortlisted mkuu 🤣 🤣 🤣
Kila mtu si anajipendelea upande wake 🤣 🤣😂😂😂😂ona huyu kaja kunipanikisha hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu Wewe umejifunza vitu Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unajua experience kwenye hizi interview inasaidia sana mimi oral yangu ya kwanza kuingia nilikuwaga sijui wanaulizaje sasa sinikaenda nimejiandaa zile sijui what is your weakness na ile why we should hire you and not others
aseeh nilipigwa maswali mpaka nikajiuliza sasa mbona maswali niliyodhani watauliza hawajauliza hata moja
😂😂😂😂Hahhhhh kila mtu avutie kwakeKila mtu si anajipendelea upande wake 🤣 🤣
😂😂😂😂acha kiongozi unajua niliendaga nimemeza weakness zangu nikajua hapa hawachomoki sasa ikanza education background nikajibu nikaona kumbe nawamudu hawa sasa sijakaa vizuri wakaanza zile duties wakati huo nilikuwa naikumbuka moja tu halafu wanataka tano nikasema asa haya ndo maswali gani ,sijakaa vizuri nikaulizwa methods zinazotumika kwenye kazi yangu hapo ndo nikaona eeeh kumbe Hawa jamaa wapo serious kunikanda aseeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu Wewe umejifunza vitu Sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah nacheka lkn najifunza maana km nakuona vile siku hiyo ilikuwa yamoto sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kiongozi unajua niliendaga nimemeza weakness zangu nikajua hapa hawachomoki sasa ikanza education background nikajibu nikaona kumbe nawamudu hawa sasa sijakaa vizuri wakaanza zile duties wakati huo nilikuwa naikumbuka moja tu halafu wanataka tano nikasema asa haya ndo maswali gani ,sijakaa vizuri nikaulizwa methods zinazotumika kwenye kazi yangu hapo ndo nikaona eeeh kumbe Hawa jamaa wapo serious kunikanda aseeh
hii mdogo wangu alikosa mtihan sababu ya hii kwerePSRS ilishawahi badilisha maelezo saa 11 Alfajir kwa shughuli ya saa moja kamili asubuhi, wakati watu walijua issue ingekua siku mbili baadae
Kila lakher, sisi ni tar 8Hakuna mabadiliko mkuu, NAOT tutakandwa tarehe 7
Ndivyo walivyo aisee usipoingia kwenye system mara kwa mara unaweza kuta mambo yamebadilikahii mdogo wangu alikosa mtihan sababu ya hii kwere
😂😂😂😂acha kabisa pale inatakiwa uende watu wakiwa wamekueleza palivyo ndo utatoboa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah nacheka lkn najifunza maana km nakuona vile siku hiyo ilikuwa yamoto sana
Mkuu weka maswali yote kwa mtililiko utatusaidia sana nakuomba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa pale inatakiwa uende watu wakiwa wamekueleza palivyo ndo utatoboa
Ukiandikiwa Shortlisted maana ake nnUnajiamin akat ushaandikiwa shortlisted mkuu 🤣 🤣 🤣
Nilishaweka muongozo huko juu cheki itakusaidia sanaMkuu weka maswali yote kwa mtililiko utatusaidia sana nakuomba.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂Umefanya oral??Ukiandikiwa Shortlisted maana ake nn
Kwanza kabisa swali la kwanza Tell us about your education backgroundMkuu weka maswali yote kwa mtililiko utatusaidia sana nakuomba.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Shukurani mkuuKwanza kabisa swali la kwanza Tell us about your education background
2. Swali la pili duties zako zile lakini hawakuulizi direct huwa wanaanza tofauti kidogo unaweza usielewe kama wanataka duties zile Kwahiyo kuwa makini usipaniki
3.Swali la tatu ujuwe challenge za kazi yako na hapa wewe ndo inabidi uoneshe unajua sasa na jinsi yakuzisolve hizo challenge
4.kuanzia la nne sasa hayo ni technical questions zinabase kwenye zile duties Kwahiyo isome kila duties uelewe inavyofanyika na kingine soma notes za course yako
Nadhani mpaka hapa mzee ukipita humu basi jiandae tu kwenda kuchukua barua
Hebu jaribu kuyafata haya yanaweza kukusaidia
Hilo huwa lipo mkuu, vipi umepita?Nimecheki mkeka wa NAOT ,kuna Watu Wana 0 kabisa hawajapata hata marks moja.
Kizungumukuti hapoDuh watu 2900 aisee si mchezo hawa jamaa hizi pepa wamesahisha kwel ðŸ¤