Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nilivyotonywa hapo kuna uwezekano upo selected for na ukaitwa kazini ni uharaka na uhitaji ila inapokuja kuwa shortlisted maana yake ni mchakato umekamilika asilimia zote subiri placement au kutokea kanzi data kupitia taasisi hata nyingine kulingana ufauli wako
 
Huu mjadala wa status tuliuhitimisha naona mnauleta kwa kasi ya mwanga.

Mimi nikitoka kwenye battle la kesho, sitahangaika na status, nitaiacha ijigeuze itakavyo, PDF(placement) ndio kitakuwa kitu pekee cha kukitolea macho
😂😂😂😂Hapa tunavuta muda tu uende hizi status hazina maana
 
Nilivyotonywa hapo kuna uwezekano upo selected for na ukaitwa kazini ni uharaka na uhitaji ila inapokuja kuwa shortlisted maana yake ni mchakato umekamilika asilimia zote subiri placement au kutokea kanzi data kupitia taasisi hata nyingine kulingana ufauli wako
Sawa sawa
 
Na kuwa selected for haimanishi umepata wala haimanishi umepata wala haimanishi umekosa ila mchakato wenu upo na upo katka idadi ya walifanya oral

Kuwa shirtlisted uwezekano wa kupata ama kukosa ila mchakato umekamilika na hata ukikosa itahifadhiwa kanzi data kwa matumizi ya baadae kulingana na muda wao
 
Haya maelezo umeytoa wp mzee ie.source?
 
Na kuwa selected for haimanishi umepata wala haimanishi umepata wala haimanishi umekosa ila mchakato wenu upo na upo katka idadi ya walifanya oral

Kuwa shirtlisted uwezekano wa kupata ama kukosa ila mchakato umekamilika na hata ukikosa itahifadhiwa kanzi data kwa matumizi ya baadae kulingana na muda wao
Naona tusubiri pdf tu
 
Back
Top Bottom