Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa mujibu wa "Mkataba wa huduma kwa mteja" wa sekretarieti ya ajira, muongozo wao ni huu hapa....
View attachment 2416232
Hapa naona kikao cho ndio kinakwamisha, kwa jinsi sahili zilivyofanyika kuanzia septemba 6 na kupata mapumziko ya wiki 1 then zikaendelea Octoba, baada ya hapo mapumziko kidogo zikaendelea Novemba, hiyo kamati isingeweza kukaa mara 3 kwa muda mfupi huo.

Badala yake sasa naona waliamua waje wakae kwa pamoja ambapo nahisi watakaa baada ya sahili hizi za NAOT na HESLB ili wajadili sahili zote kuanzia septemba.

Wakimaliza ndipo tusubiri siku angalau 28 zipite ndipo placements zitoke.

Hapa matarajio tunayatupa mwakani maana tupo mwisho wa mwaka na ni msimu wa sikukuu, lazima hiki kipindi kipishwe kwanza.
 
Mwaka Mpya wa Fedha 22/23 Ajira zake Zimeanza kutoka 20 October Mwaka Huu.
Ondoa Hizo Re-Advertising. Na Zile Za Ikama Ya Bajeti Ya Mwaka 21/22.
Hizo Zote zilizotoka Kabla ni Za mwaka Wa Fedha 21/22.
Na Marekebisho Ya Mchakato Yatanza Mwaka 23/24. Juzi Bungeni Waziri wa Fedha Ndo Alikuwa Anatoa Hayo Maelekez Kwa Maafisa Maasuli Wa Taasisi Mbalimbali.
 
Sijakuelewa mku.

Ninavyojua ni kwamba vibali vinatolewa kulingana na:-
1. Uhitaji wa taasisi kutaka mtumishi.
2. Uwezo wa serikali (kifedha) kuajiri.

Sijaelewa hoja yako with respect to kibali kikitoka mwaka huu hakuna guarantee kitatoka tena mwakani.

Niliposema ajira sio tenga la nyanya (kwamba usipoziuza leo basi zikikaa sana zinaoza) nilimaanisha utumishi wanachelewesha michakato (for whatever the reasons) with no worries.
Ajira za TRA walitangaza Aprili, hadi leo hawajaita interview.
Ajira za MDA & LGA walitangaza mwezi Juni, hadi leo hawajaita interview.

Kwa muktadha huo wanaweza kusema tutafanyisha interview mwakani baada ya Valentines (for whatever the reasons) na sisi jobless tukasubiri maana hatuna chaguo, hatuna cha kufanya wala cha kuwafanya.
Hii ndio ilikua hoja yangu.

"Kwa muktadha wa namna hii ya ucheleweshaji wa michakato, ajira sio tenga la nyanya kwamba litaoza"
No hurry, no hurry at all.
Hoja yangu, kibali kikitoka means bajeti ya ajira mpya ipo, ukichelewa kuajiri mpaka mwaka mwingine wa fedha hakuna uhakika kwamba ajira hizo zitaendelea kuwepo, kuna mifano mingi way back 2016. Na kumbukeni wage bill now ni bilioni 600+ kwa mwezi, sioni serikali ikiendelea kuajiri kwa wingi kama mwaka huu (bitter truth).
 
Mwaka Mpya wa Fedha 22/23 Ajira zake Zimeanza kutoka 20 October Mwaka Huu.
Ondoa Hizo Re-Advertising. Na Zile Za Ikama Ya Bajeti Ya Mwaka 21/22.
Hizo Zote zilizotoka Kabla ni Za mwaka Wa Fedha 21/22.
Na Marekebisho Ya Mchakato Yatanza Mwaka 23/24. Juzi Bungeni Waziri wa Fedha Ndo Alikuwa Anatoa Hayo Maelekez Kwa Maafisa Maasuli Wa Taasisi Mbalimbali.
aseeeh tutafika tumechoka sana
 
Nadhan Kuna mistake zilikuwa zinafanyika yan ww unaomba kibali cha kuajiri. Utumishi Then Swala la Mishahara na Mengine khs watumishi wapya Unawachia Hazina.
Ukitegemea kwamba ukipewa watumishi wapya Hazina Watamaliza Changamoto ya Kifedha kuhusu watumish.
Mwisho Hazina Wanajikuta Wana maombi mengi ya pesa Nje Ya Bajeti Husika Ya mishahara. Kwahy Inaslow Down the whole process. Kuanzia utoaji Wa Placement Mpk Kupewa cheque No Na kupata Mshahara.
Maan Hazina Inabidi ihakiki Bajeti Ya Mishahara Haizidi kiasi kilichopangwa kwny Bajeti Ya Serikali kwa mwaka husika.
Kuanzia Mwaka Ujao wa Fedha Watakuja na Utaratibu Mpya Mfano TRAA wakitaka kuajiri Wapeleke maombi Utumishi lakini Bajeti ya Mishahara na Ongezeko la Mshahara wa mwaka Iwe Sehemu Ya Maombi Ya Fedha Zao Za Bajeti Kwa Mwaka Husika. Kabla Utumishi Hawatoa kibali cha Ajira.
 
Unaweza kuwa unasema mwezi ujao, lakini kumbe mawazo ya sekretarieti yako hivi....

"Sasa tupate mapumziko ya kombe la dunia"..... (Nov 20 - Dec 18).

"Tukimalizana na WC, sasa tupate mapumziko ya Krismass na mwaka mpya" (Dec 20 - Jan 5).

"Baada ya hapo tunaweza kuzungumzia advertisements, calls for interview na placements"

Justification: Kwani ajira ni tenga la nyanya kwamba zitaoza, acha wasubiri bana.

Sisi jobless sasa....
Ni milio na kusaga meno tu.

Hahaha.
 
Hoja yangu, kibali kikitoka means bajeti ya ajira mpya ipo, ukichelewa kuajiri mpaka mwaka mwingine wa fedha hakuna uhakika kwamba ajira hizo zitaendelea kuwepo, kuna mifano mingi way back 2016. Na kumbukeni wage bill now ni bilioni 600+ kwa mwezi, sioni serikali ikiendelea kuajiri kwa wingi kama mwaka huu (bitter truth).
Huu ndo ukweli mwaka huu wamejitahidi kidogo kutoa nafasi
 
Sidhani pia kama itamaliza kabisa tatizo, mfumo wa bajeti yetu ni kwamba unapanga matumizi ya fedha ambayo hujakusanya. Ukikusanya pungufu inabidi upige panga matumizi mengine uliyokuwa umepanga. Ndo maana nikamwambia yule bwana vibali vya ajira ni kama nyanya tu.
 
Hoja yangu, kibali kikitoka means bajeti ya ajira mpya ipo, ukichelewa kuajiri mpaka mwaka mwingine wa fedha hakuna uhakika kwamba ajira hizo zitaendelea kuwepo, kuna mifano mingi way back 2016. Na kumbukeni wage bill now ni bilioni 600+ kwa mwezi, sioni serikali ikiendelea kuajiri kwa wingi kama mwaka huu (bitter truth).
Ni Kweli Vibali Vinatoka kabla ya mwaka mpya wa Fedha tena wakati wa usomaji wa Bajeti ya Serikali .
Ila Ili Hizo nafac Zote kwa mwaka Husika ili watu wajiriwe inategemean na Makusanyo Ya Serikali Yatakuaje.Kwa Mwaka Huo.
Uchumi ukitulia na Pesa ikapatikana almost wote watalamb asali kulingan n idadi inayotakiwa kwa mwaka huo.
Ss hv Mambo Yamekaza.
Ss Hv Wages Bills n 814B.
21/22 Walisema watajirii 46K ndo Pamoja Na Hawa TA Na hizi Ajira nying Vyuoni.
22/23 N 30K Tyu.
Kumbukeni Madam Alishasema Wages Bill ni Kubwa inakimbilia 10 Trillion kwa Mwaka.
 
Kwahiyo kumbe vibali vinaweza kusitishwa?
Wasitani wa makusanyo kwa mwezi ni trilioni 1.3 (Approximated), wage bill ni bilioni 600 kwa mwezi, kuhudumia deni la taifa ni bilioni 700 (nilimsikia JPM siku anamwapisha Mwigulu Chato). Now serikali inabana matumizi plus hali ya uchumi tete, makusanyanyo yanaweza kutokuwa yale yaliyokuwa projected.

Mpaka umepewa check namba na mshara wa kwanza umeanza kuingia hapo ndo uhakika, otherwise endelea kupiga saili nyingi + kusali sana
 
aseeeh basi jobless tuna safari ndefu sana

Back
Top Bottom