Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hapa naona kikao cho ndio kinakwamisha, kwa jinsi sahili zilivyofanyika kuanzia septemba 6 na kupata mapumziko ya wiki 1 then zikaendelea Octoba, baada ya hapo mapumziko kidogo zikaendelea Novemba, hiyo kamati isingeweza kukaa mara 3 kwa muda mfupi huo.Kwa mujibu wa "Mkataba wa huduma kwa mteja" wa sekretarieti ya ajira, muongozo wao ni huu hapa....
View attachment 2416232
Badala yake sasa naona waliamua waje wakae kwa pamoja ambapo nahisi watakaa baada ya sahili hizi za NAOT na HESLB ili wajadili sahili zote kuanzia septemba.
Wakimaliza ndipo tusubiri siku angalau 28 zipite ndipo placements zitoke.
Hapa matarajio tunayatupa mwakani maana tupo mwisho wa mwaka na ni msimu wa sikukuu, lazima hiki kipindi kipishwe kwanza.