Sio vizuri aseeh tupeane taarifaUkishapata ghafla unapotea. “ Wakati wa kula haupaswi kuongea.”
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio vizuri aseeh tupeane taarifaUkishapata ghafla unapotea. “ Wakati wa kula haupaswi kuongea.”
😂😂😂😂Akaoneshe umahiri au sioUnaonaje waanze na wewe, wakubrush tu wiki kadhaa then usepeshwe kwa Zelenky ukaoneshe umahiri[emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂Nishatimiza wajibu wangu wa kufika oral na kuifanya. Sasa imebaki uamuzi wao. Huku mimi nikijiona sina changu pale
😂😂😂😂Asante sana ngoja nikaulizie bei ya Subaru kwanza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole sana JOBLESS DARAJA LA II
Kwamba watoto watakula degree au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],[emoji85][emoji85][emoji85] ,Ila wakuu tatizo la ajira na prospect ya maisha ya graduates nchi hii ,aisee ni giza trust me ,hali itaendelea kuwa mbaya mno zaidi ya hapa . Kumbuka kuna vyuo uchwara vya CERTIFICATES ,diploma bado kuna vyuo vya degree vinatema kila siku watu kitaa ,halafu ukiangalia hata ukuaji wa uchumi hauendani na ukuaji wa number /idadi ya wasomi .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kuachwa tu ni kuachwa kwa maneno makali demu ananiambia una gari wewe?haya na tukipata watoto hao watoto watakula degree?mamaeeee hahhhh [emoji23]
😂😂😂😂Serious kabisa nazama pm mkuu ujobless sio kilema aseeh hako kaavatar sindo wewe auJambo kama jambo [emoji3]
Sisi wengine ni paper kuanzia mbili , tena kama watu wa uhandisi sisi paper 3 mamaeee , halafu unakuta mko nyomi mnagombania nafasi moja au mbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lakini bora hao kazi zao hazina mambo mengi kama utumishi
Nimeamua hivi, ngoja niendelee kukomaa na huu uamuzi.Kwani unadhani mtu unapenda bhas, yaan inakuja tu....we mwenyewe utaona[emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Halafu akawatengenezea vitambulisho vya umachinga ili mtembeze vyupi vya wachina na ice cream za bakhresa barabarani , aisee hii nchi hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa , maana si kwa manyanyaso haya wanayotupa , msongo wa mawazo kitaa huku tunaitwa wanaume suruali halafu na utumishi nao bado wanatufokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo mkuu umeona bora tuuwawe tu aseeh kweli jobless hathaminiki [emoji23]
😂😂😂😂eeeh afu wakati huo sio ananiambia tunaonana hiyo tupo kwenye simu ananiambia Sasa wewe huna kazi hao watoto watakula degree mamaeee afu sijakaa vizuri kapost yupo kwenye gari wakati huo najua baba ake Hana gari nikajua tayari jobless mwendo nimeumaliza vita nimepigana lakini vimenishinda😂Kwamba watoto watakula degree au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],[emoji85][emoji85][emoji85] ,Ila wakuu tatizo la ajira na prospect ya maisha ya graduates nchi hii ,aisee ni giza trust me ,hali itaendelea kuwa mbaya mno zaidi ya hapa . Kumbuka kuna vyuo uchwara vya CERTIFICATES ,diploma bado kuna vyuo vya degree vinatema kila siku watu kitaa ,halafu ukiangalia hata ukuaji wa uchumi hauendani na ukuaji wa number /idadi ya wasomi .
Tunaopitia hii dhahma ni wengi , tuliobahatika tuna biashara uchwara vya kusukuma siku na kuganga njaa tuu kitaa ,ila moto huku kitaa ni tanuru , Kuna muda mtu akikuuliza mbona hujaoa au mbona huna watoto ,unatamani umtie ngumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,kwa sababu ukikaa na kuwazua hata hiyo future ya familia utakayoianzisha huioni ,
Mazee hali ni mbaya
😂😂😂😂Mtaani waliuliza Umesoma nini unatamani hata ulieKabisa , maana si kwa manyanyaso haya wanayotupa , msongo wa mawazo kitaa huku tunaitwa wanaume suruali halafu na utumishi nao bado wanatufokea
Mi Niko tayari aiseeUnaonaje waanze na wewe, wakubrush tu wiki kadhaa then usepeshwe kwa Zelenky ukaoneshe umahiri[emoji3][emoji3][emoji3]
Sijui kwanini huwa wanapotea..Ukishapata ghafla unapotea. “ Wakati wa kula haupaswi kuongea.”
Per diem ni posho ya kulala nje ya kituo cha kazi. Inalipwa kulingana na Cheo. Ila pia kuna Extra Duty kufanya kazi masaa ya ziada ambapo degree ckuhizi 60,000Hv wadau kuna walamba Asali huwaga kuna neno nawasikia wakilitumia PER DIEM ,hv hilo neno huko kwenye asali lina maana gani?
,😂😂😂Ukipasua hapo inatakiwa mtu asikupangie matumizi ya pesa zqko aseehSisi wengine ni paper kuanzia mbili , tena kama watu wa uhandisi sisi paper 3 mamaeee , halafu unakuta mko nyomi mnagombania nafasi moja au mbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huenda mjomba wake alichelewa kunyoosha mamboTamisemi mzee ilikuwa ishapita mwezi mzima akapigiwa akaripoti
duuuh kumbe kuna hela aseehPer diem ni posho ya kulala nje ya kituo cha kazi. Inalipwa kulingana na Cheo. Ila pia kuna Extra Duty kufanya kazi masaa ya ziada ambapo degree ckuhizi 60,000
Aisee yule mzee akili zake alikuwa anazijua yeye mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Alisepa na 20k za majobless sana
Yani ndo nikawaza sana maana maombi nilimfanyia mimi 😂😂😂nikasema au mimi Nina gunduHuenda mjomba wake alichelewa kunyoosha mambo