Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kuachwa tu ni kuachwa kwa maneno makali demu ananiambia una gari wewe?haya na tukipata watoto hao watoto watakula degree?mamaeeee hahhhh [emoji23]
Kwamba watoto watakula degree au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],[emoji85][emoji85][emoji85] ,Ila wakuu tatizo la ajira na prospect ya maisha ya graduates nchi hii ,aisee ni giza trust me ,hali itaendelea kuwa mbaya mno zaidi ya hapa . Kumbuka kuna vyuo uchwara vya CERTIFICATES ,diploma bado kuna vyuo vya degree vinatema kila siku watu kitaa ,halafu ukiangalia hata ukuaji wa uchumi hauendani na ukuaji wa number /idadi ya wasomi .
Tunaopitia hii dhahma ni wengi , tuliobahatika tuna biashara uchwara vya kusukuma siku na kuganga njaa tuu kitaa ,ila moto huku kitaa ni tanuru , Kuna muda mtu akikuuliza mbona hujaoa au mbona huna watoto ,unatamani umtie ngumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,kwa sababu ukikaa na kuwazua hata hiyo future ya familia utakayoianzisha huioni ,
Mazee hali ni mbaya
 
Lakini bora hao kazi zao hazina mambo mengi kama utumishi
Sisi wengine ni paper kuanzia mbili , tena kama watu wa uhandisi sisi paper 3 mamaeee , halafu unakuta mko nyomi mnagombania nafasi moja au mbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Halafu akawatengenezea vitambulisho vya umachinga ili mtembeze vyupi vya wachina na ice cream za bakhresa barabarani , aisee hii nchi hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Alisepa na 20k za majobless sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo mkuu umeona bora tuuwawe tu aseeh kweli jobless hathaminiki [emoji23]
Kabisa , maana si kwa manyanyaso haya wanayotupa , msongo wa mawazo kitaa huku tunaitwa wanaume suruali halafu na utumishi nao bado wanatufokea
 
Kwamba watoto watakula degree au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],[emoji85][emoji85][emoji85] ,Ila wakuu tatizo la ajira na prospect ya maisha ya graduates nchi hii ,aisee ni giza trust me ,hali itaendelea kuwa mbaya mno zaidi ya hapa . Kumbuka kuna vyuo uchwara vya CERTIFICATES ,diploma bado kuna vyuo vya degree vinatema kila siku watu kitaa ,halafu ukiangalia hata ukuaji wa uchumi hauendani na ukuaji wa number /idadi ya wasomi .
Tunaopitia hii dhahma ni wengi , tuliobahatika tuna biashara uchwara vya kusukuma siku na kuganga njaa tuu kitaa ,ila moto huku kitaa ni tanuru , Kuna muda mtu akikuuliza mbona hujaoa au mbona huna watoto ,unatamani umtie ngumi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,kwa sababu ukikaa na kuwazua hata hiyo future ya familia utakayoianzisha huioni ,
Mazee hali ni mbaya
😂😂😂😂eeeh afu wakati huo sio ananiambia tunaonana hiyo tupo kwenye simu ananiambia Sasa wewe huna kazi hao watoto watakula degree mamaeee afu sijakaa vizuri kapost yupo kwenye gari wakati huo najua baba ake Hana gari nikajua tayari jobless mwendo nimeumaliza vita nimepigana lakini vimenishinda😂
 
Hv wadau kuna walamba Asali huwaga kuna neno nawasikia wakilitumia PER DIEM ,hv hilo neno huko kwenye asali lina maana gani?
Per diem ni posho ya kulala nje ya kituo cha kazi. Inalipwa kulingana na Cheo. Ila pia kuna Extra Duty kufanya kazi masaa ya ziada ambapo degree ckuhizi 60,000
 
Sisi wengine ni paper kuanzia mbili , tena kama watu wa uhandisi sisi paper 3 mamaeee , halafu unakuta mko nyomi mnagombania nafasi moja au mbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
,😂😂😂Ukipasua hapo inatakiwa mtu asikupangie matumizi ya pesa zqko aseeh
 
Per diem ni posho ya kulala nje ya kituo cha kazi. Inalipwa kulingana na Cheo. Ila pia kuna Extra Duty kufanya kazi masaa ya ziada ambapo degree ckuhizi 60,000
duuuh kumbe kuna hela aseeh
 
Back
Top Bottom