Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Leo jioni nilipigiwa na namba ngeni nikajua ADEM, kumbe matapeli.....eti hooo unaongea na Stewart toka Airtel makao makuu, kuna pesa zimetumwa kwako kimakosa....ebu twambie mara ya mwisho kwa akaunt yako ulikuwa na bei gani. WAJINGA SANA JAAMAA. nika mchana akaanza nitukana jobless tunapata tabu sana [emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii taarifa siyonya kweli, jobless sijui tuna Nini?!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unataka ushahidi gani? Amini unachoambiwa . Huyu ni ndugu yangu na ndiye aliyenipa nguvu ya kwenda written ya naot baada ya kuona kumbe nafasi zinawezakuwa 3 lakini mkachukuliwa hata 50. Jamaa alipigiwa simu kama utani wakati oral alijua kachemka
 
Unataka ushahidi gani? Amini unachoambiwa mkuu. Huyu ni ndugu yangu na ndiye aliyempa nguvu ya kwenda written ya naot baada ya kuona kumbe nafasi zinawezakuwa 3 lakini mkachukuliwa hata 50. Jamaa alipigiwa simu kama utani wakati oral alijua kachemka
Alipigiwa simu taasisi gani na lini? Nataka nijifunze kitu kaka
 
Back
Top Bottom