Lazima uteseke ili tuheshimiane mkuu😂😂😂😂Labda ila wangeziweka tujue Moja asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima uteseke ili tuheshimiane mkuu😂😂😂😂Labda ila wangeziweka tujue Moja asee
Humu ndani Watu wanakamdwa sana .mpaka hutamani kurudi hapo CIVEHahahaaa, nilikaribishwa kwa mkando heavy sana pale CIVE, kabla sijakaa vizuri nikatandikwa ndoige pale DUCE[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], nikawa najisemea kumbe mambo ndio yako hivi. Nikirudi kijiweni nikiwa mnyonge, nilipoulizwa mambo yalivyoenda nikawaambia "nimekimbia" kwani mambo sio kitoto.
Muda huo mwenzangu ambaye niliambatana naye, alifika oral zote na nikamuacha akiwa anapambana na oral, mimi nikarudisha mpira kwa kipa(kijiweni), aliporudi sikuwa na mood ya kumuuliza nini kilichoendelea kule. Nilibaki kuwa mnyonge huku nikifikiria jinsi nafasi inavyotokaga kwa mbinde.
Nilipumzika wiki 1 nikaanza maandalizi ya kurudi UDOM, mara hii ilikuwa CBSL, huku tena nilichezea "Mandonga mtu kazi"[emoji3][emoji3][emoji3] huku mwenzangu akiendelea kupeta.
Kwenye Profile ikawa imebaki received ya NAOT huku nikiikatia tamaa kuanzia hatua ya kuitwa kwa mkando wa written. Nilirudi kuja kueleza hapa ila nasaha kutoka kwa majobless wa humu ikawa chorus ninayoimbiwa[emoji3][emoji3] hadi vina vikaniingia kwenye Oblongata na hatimaye shortlist ya NAOT ikatoka na nikawemo. Si nikaenda kujilipua kimasikhara[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], cheche zikatua kwa wakandaji wa ana kwa ana ofisini kwao nikawa miongoni mwa wasubiri placement.
Sasa target yangu ni angalau niingie database, siku nikiona jina kwenye placement tutashereheka wote ushindi humu.
Kama tulianza wote kusubiri shortlists, tukakandwa, tukaimprove na kufika oral tukiwa tunashare feelings kwa pamoja, haitashindikana kusherehekea ushindi kwa pamoja.
#MkonoKwaMkonoHadiKwenyeMrijaWaAsali
Umetoa to wapi hiki TANGAZO limekaa kimchongoWatakuwa wana uhitaji sana, wameamua watangaze wao na maombi yaelekezwe kwao.
Mlio nasifa jaribuni bahati yenuView attachment 2420364
Hapa ndo wanapotuchoshaHivi ni lazima PDF itoke moja kwa siku. Si wangeweka hata PDF 7 kwa siku za placements. Mbona kwenye advertisement na interview inawezekana
😂😂😂😂😂 Auditorium hii inakuaga na baridi kinoma asubuhiHumu ndani Watu wanakamdwa sana .mpaka hutamani kurudi hapo CIVEView attachment 2420368
😂😂😂😂😂Limekaa kimkakati sana aseehUmetoa to wapi hiki TANGAZO limekaa kimchongo
Dah inasikitisha kweli mi TPA napakubali sana pale kuna mbaba jirani yetu ni office attendant tu ila dah pale kitaa anaupgwa mwingi sana Watu wanadhan jamaa ni bonge la bosi kule bandari Kumbe wapi ,jamaa ana ndinga Kali sanaJuzi Niliona Mjadala Kuhusu Kuitwa Taasisi 2 Tofauti.
Kuna Boy Aliwaha kufany usaili TRC mwaka Jana Mwishoni.
Pia Alifanya usaili wa TPA mwaka huu Post Ya Artisan.
TRC wakamwita kazini akafata Barua Pspr Na Kuanza Kazi Ila Mshahara Kiduchu. Boy Aliniambia Anakula Box 3 na Ushee Na Kila K2 Anajitegemea Wakati Akisherekea Kuingia kwny Mrija Wa Asali., Upande wa Pili Anasononeka Kulamba Asali Kwa Kiwango Kidogo
TPA placement ikaja Kutoka kwny Ule mkeka pia akiwepo.
Akauliza Wadaub wa TPA Huko Mrija Unatema Kwa Kiwango Gani.
Boy To Man akambiwa mshahara Hautofautian sana ila kule kuna Allowance nyingi ela ya usafiri, Kodi, na mengine plus Overtime So Wanapata zaidi.
Akanipigia Simu Kuniuliza Mkakati Wa Kufanya Aende PSPR Kufata Barua Then Asepe TPA.
Barua alipewa n PsPr akariport TPA Akafany Vipimo.
Cheque No Ya Hazina Ndo ilikuja Kumtemesha Ndoano.
Ndoto Ikapepea Yupo TRC Anaendelea Na Majukumu
Wazimwage tuHapa ndo wanapotuchosha
Haikuwa bahati yakeDah inasikitisha kweli mi TPA napakubali sana pale kuna mbaba jirani yetu ni office attendant tu ila dah pale kitaa anaupgwa mwingi sana Watu wanadhan jamaa ni bonge la bosi kule bandari Kumbe wapi ,jamaa ana ndinga Kali sana
Eeh watupe black and white zetu tutembee mbeleWazimwage tu
Tujue kama tuendelee kula vumbi au lahEeh watupe black and white zetu tutembee mbele
Yeah ni kweliHaikuwa bahati yake
Ushuhuda nzuri nadhani hapa unaweza chagua taasisi kabla hujaenda kuripoti ikitokea placement zimetoka kabla haujaanza kazi sehemu mojawapoJuzi Niliona Mjadala Kuhusu Kuitwa Taasisi 2 Tofauti.
Kuna Boy Aliwaha kufany usaili TRC mwaka Jana Mwishoni.
Pia Alifanya usaili wa TPA mwaka huu Post Ya Artisan.
TRC wakamwita kazini akafata Barua Pspr Na Kuanza Kazi Ila Mshahara Kiduchu. Boy Aliniambia Anakula Box 3 na Ushee Na Kila K2 Anajitegemea Wakati Akisherekea Kuingia kwny Mrija Wa Asali., Upande wa Pili Anasononeka Kulamba Asali Kwa Kiwango Kidogo
TPA placement ikaja Kutoka kwny Ule mkeka pia akiwepo.
Akauliza Wadaub wa TPA Huko Mrija Unatema Kwa Kiwango Gani.
Boy To Man akambiwa mshahara Hautofautian sana ila kule kuna Allowance nyingi ela ya usafiri, Kodi, na mengine plus Overtime So Wanapata zaidi.
Akanipigia Simu Kuniuliza Mkakati Wa Kufanya Aende PSPR Kufata Barua Then Asepe TPA.
Barua alipewa n PsPr akariport TPA Akafany Vipimo.
Cheque No Ya Hazina Ndo ilikuja Kumtemesha Ndoano.
Ndoto Ikapepea Yupo TRC Anaendelea Na Majukumu
Sijalicheki kwa undani zaidi baada ya kuona mtu mzito/angalau mwaminifu kashareMbona kama la mchongo hili?chuo wanatumia Gmail kweli???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nafikiri labda kuna pesa kwenye kuziweka hizo pdf kwahiyo wakiweka zote siku moja hela watapataje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimewaza tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Humu ndani Watu wanakamdwa sana .mpaka hutamani kurudi hapo CIVEView attachment 2420368
WhatsApp mkuuUmetoa to wapi hiki TANGAZO limekaa kimchongo
😂😂😂😂😂😂Lazima usite mkuu maana hapo wanataka keWatakuwa wana uhitaji sana, wameamua watangaze wao na maombi yaelekezwe kwao.
Mlio nasifa jaribuni bahati yenuView attachment 2420364
Nilikuwa natetemeka hatari, ile ukiwa umesimama halafu miguu inakuwa inatetemeka ambapo mtu hawezi kugundua kama unatetemeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auditorium hii inakuaga na baridi kinoma asubuhi
Hilo tangazo huenda la mchongo, spy wamelishtukia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima usite mkuu maana hapo wanataka ke