๐๐๐๐๐oya lab coat we ni jini mkuu??hebu tuliza kichwa kiongoziwakuu eti kwa kada za laboratory kuna umuhimu wa kutimba na labcoat ,siku ya interview
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐oya lab coat we ni jini mkuu??hebu tuliza kichwa kiongoziwakuu eti kwa kada za laboratory kuna umuhimu wa kutimba na labcoat ,siku ya interview
Nadhani inakua ngumu kwenye oral kuweka marks wazi sababu ya wanaangalia factor nyingi zaidi kama gender,ulemavu,umri n.kUtumishi wangekua tu open kwenye interview za oral kama vike written wamukee mtu marks alizopata kweny acc yake...na kama yupo database ajue t
Wanazingua tu lakini hiyo ndo sababu yao kuu hawaangalii kujibu tu pekeake wanapita na uelewa wa mtuNadhani inakua ngumu kwenye oral kuweka marks wazi sababu ya wanaangalia factor nyingi zaidi kama gender,ulemavu,umri n.k
Ni sahihi maana wakishapata marks za kila mmoja ndio wanarudi kwenye guideline ili iwaongoze kuhusu haki ya kila mmoja kulingana na jinsia, umri, ulemavu. Kwa hiyo kazi wanayoifanya sio ya kitoto, ni heavy ila haituzuii kuwasema kama tunavyowasema siku zote humuNadhani inakua ngumu kwenye oral kuweka marks wazi sababu ya wanaangalia factor nyingi zaidi kama gender,ulemavu,umri n.k
Mdada atapewa kipaumbele endapo marks zake zikawa sawa na mwanaume.Me nazani marks wanakuwa nazo siku ile ile ya oral hizo factors nyingine zinakuja watu wakigongana marks kuwa jinsia fulani au mlemavu sio issue kama kuna mtu ana marks nyingi kuna kazi ilikuwa inataka watu wawili walikuwa watatu wanaumme wawili na mdada mmoja na wakapita wanaumme wote wawili mdada akakosa.
Hata Mimi nilipigwa chini moja mpaka leo imeandikwa selected for oral interview no....๐๐๐๐Uhakika Kuna wanangu wa selected for oral hao wameachwa msata hata hawajaikamata chalinze hahhhh
๐๐๐๐hiyo tunasemaga baba jeni bye byeHata Mimi nilipigwa chini moja mpaka leo imeandikwa selected for oral interview no....
Yes na ndio sababu inakua ngumu kuweka marks za oral maana itawalazimu kutoa sababu kwanini huyu ana marks nyingi na hajapata kazi,wanaepusha migogoroNi sahihi maana wakishapata marks za kila mmoja ndio wanarudi kwenye guideline ili iwaongoze kuhusu haki ya kila mmoja kulingana na jinsia, umri, ulemavu. Kwa hiyo kazi wanayoifanya sio ya kitoto, ni heavy ila haituzuii kuwasema kama tunavyowasema siku zote humu
Yani ukute una 70halafu hujapata kazi siutaenda uwapige ?๐๐๐๐Yes na ndio sababu inakua ngumu kuweka marks za oral maana itawalazimu kutoa sababu kwanini huyu ana marks nyingi na hajapata kazi,wanaepusha migogoro
Hakuna mgogoro wowote ni kuweka tu kanuni hadharaniYes na ndio sababu inakua ngumu kuweka marks za oral maana itawalazimu kutoa sababu kwanini huyu ana marks nyingi na hajapata kazi,wanaepusha migogoro
Status hazisadifu kupata kazi au kukosa kikubwa uwemo kwenye pdfHata Mimi nilipigwa chini moja mpaka leo imeandikwa selected for oral interview no....
Kweli wawe tu wawazi tujue mojaHakuna mgogoro wowote ni kuweka tu kanuni hadharani
Huenda upo database mzee vuta subraHata Mimi nilipigwa chini moja mpaka leo imeandikwa selected for oral interview no....
Hakuna data base mkuu hapo maana hata Mimi Kuna moja nilikosa mwaka jana mwaka huu wakatoa nafasi wakaitwa wengine yangu ipo selected for oral muda woteHuenda upo database mzee vuta subra
Sawa mkuuHakuna data base mkuu hapo maana hata Mimi Kuna moja nilikosa mwaka jana mwaka huu wakatoa nafasi wakaitwa wengine yangu ipo selected for oral muda wote
[emoji23][emoji23][emoji23] uku unawauliza kwann mmenyima mrija wa asaliYani ukute una 70halafu hujapata kazi siutaenda uwapige ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐๐๐Lazima wakueleze vizuri aseeh Kwamba kisa anaulemavu utawambia haya mnivunje miguu ili mfurahi[emoji23][emoji23][emoji23] uku unawauliza kwann mmenyima mrija wa asali
Kwenye app je?! ๐ ๐ ๐คฃHakuna data base mkuu hapo maana hata Mimi Kuna moja nilikosa mwaka jana mwaka huu wakatoa nafasi wakaitwa wengine yangu ipo selected for oral muda wote
Sijacheki ipoje asaiviKwenye app je?! ๐ ๐ ๐คฃ