Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi wangekua tu open kwenye interview za oral kama vike written wamukee mtu marks alizopata kweny acc yake...na kama yupo database ajue t
Nadhani inakua ngumu kwenye oral kuweka marks wazi sababu ya wanaangalia factor nyingi zaidi kama gender,ulemavu,umri n.k
 
Me nazani marks wanakuwa nazo siku ile ile ya oral hizo factors nyingine zinakuja watu wakigongana marks kuwa jinsia fulani au mlemavu sio issue kama kuna mtu ana marks nyingi kuna kazi ilikuwa inataka watu wawili walikuwa watatu wanaumme wawili na mdada mmoja na wakapita wanaumme wote wawili mdada akakosa.
 
Ni sahihi maana wakishapata marks za kila mmoja ndio wanarudi kwenye guideline ili iwaongoze kuhusu haki ya kila mmoja kulingana na jinsia, umri, ulemavu. Kwa hiyo kazi wanayoifanya sio ya kitoto, ni heavy ila haituzuii kuwasema kama tunavyowasema siku zote humu
 
Mdada atapewa kipaumbele endapo marks zake zikawa sawa na mwanaume.

Akiwa na marks chache ataachwa.

Mlemavu atachukuliwa akifikisha tu marks 50+, pia nafasi za kazi zitazingatiwa kwenye huu uamuzi.

Kuhusu umri, mkipata marks sawa na mwenye umri mkubwa, huyo aged atachukuliwa, hapa gender haiangaliwi(kama sijakosea lakini)
 
Ni sahihi maana wakishapata marks za kila mmoja ndio wanarudi kwenye guideline ili iwaongoze kuhusu haki ya kila mmoja kulingana na jinsia, umri, ulemavu. Kwa hiyo kazi wanayoifanya sio ya kitoto, ni heavy ila haituzuii kuwasema kama tunavyowasema siku zote humu
Yes na ndio sababu inakua ngumu kuweka marks za oral maana itawalazimu kutoa sababu kwanini huyu ana marks nyingi na hajapata kazi,wanaepusha migogoro
 
Back
Top Bottom