Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu, Kuna mengi yanayokufanya utoboe oral ila ni vitu vya kawaida tu
+Vaa vizuri
+Jiandiae kupresent topic flani katika field ulioombea kama hii ni teaching post
+Andaa material utayopresent katika mpangilio mzuri
+Unaweza ukapewa computer uandike slides au hata karatasi uandike notes Kwa mkono
+Ondoa hofu na jibu kila swali
+Kama swali hujalielewa waambie walifafanue
+Jiandae kuuliza swali ambalo litakuongezea credit
+Jabu kila swali
+Matumizi ya body language and gestures ni muhimu
+Fafanua points zako Kwa ufupi
N.k.
Shukran sana bro Ahmet ,, kweny presentation unabalancije muda wako Kama ni dk 10 au 5 au unaweza kuprisent hata Kama muda ukaisha ukawa ujamaliza ulichokiandaa..ikawa poa tu.... VITU GAANI VYA KUEPUKA KWENY PRESENTATION ILI IWE SAWA,,
 
Wakuu, Kuna mengi yanayokufanya utoboe oral ila ni vitu vya kawaida tu
+Vaa vizuri
+Jiandiae kupresent topic flani katika field ulioombea kama hii ni teaching post
+Andaa material utayopresent katika mpangilio mzuri
+Unaweza ukapewa computer uandike slides au hata karatasi uandike notes Kwa mkono
+Ondoa hofu na jibu kila swali
+Kama swali hujalielewa waambie walifafanue
+Jiandae kuuliza swali ambalo litakuongezea credit
+Jabu kila swali
+Matumizi ya body language and gestures ni muhimu
+Fafanua points zako Kwa ufupi
N.k.
@Ahmet mpangilio mzuri wako presentation unauwaandaje hapa
 
Back
Top Bottom