Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Umenionea wapi ndugu yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]venue ipi hiyoafu balozi nilikuona jana bana
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenionea wapi ndugu yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]venue ipi hiyoafu balozi nilikuona jana bana
Kwa hiyo umerudi mkoani ama?hawajasema ila oral ni tarehe 7
Wee waache hela ziwapagawishee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wasile kimasihara
Shukran sana bro Ahmet ,, kweny presentation unabalancije muda wako Kama ni dk 10 au 5 au unaweza kuprisent hata Kama muda ukaisha ukawa ujamaliza ulichokiandaa..ikawa poa tu.... VITU GAANI VYA KUEPUKA KWENY PRESENTATION ILI IWE SAWA,,Wakuu, Kuna mengi yanayokufanya utoboe oral ila ni vitu vya kawaida tu
+Vaa vizuri
+Jiandiae kupresent topic flani katika field ulioombea kama hii ni teaching post
+Andaa material utayopresent katika mpangilio mzuri
+Unaweza ukapewa computer uandike slides au hata karatasi uandike notes Kwa mkono
+Ondoa hofu na jibu kila swali
+Kama swali hujalielewa waambie walifafanue
+Jiandae kuuliza swali ambalo litakuongezea credit
+Jabu kila swali
+Matumizi ya body language and gestures ni muhimu
+Fafanua points zako Kwa ufupi
N.k.
@Ahmet mpangilio mzuri wako presentation unauwaandaje hapaWakuu, Kuna mengi yanayokufanya utoboe oral ila ni vitu vya kawaida tu
+Vaa vizuri
+Jiandiae kupresent topic flani katika field ulioombea kama hii ni teaching post
+Andaa material utayopresent katika mpangilio mzuri
+Unaweza ukapewa computer uandike slides au hata karatasi uandike notes Kwa mkono
+Ondoa hofu na jibu kila swali
+Kama swali hujalielewa waambie walifafanue
+Jiandae kuuliza swali ambalo litakuongezea credit
+Jabu kila swali
+Matumizi ya body language and gestures ni muhimu
+Fafanua points zako Kwa ufupi
N.k.
Content iwe kubwa na uelezee kila terms pale@Ahmet mpangilio mzuri wako presentation unauwaandaje hapa
Yani introduction iwe kidogo tu zen ingia kwenye main contentContent iwe kubwa na uelezee kila terms pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante sana boss mkubwa.
Kwa watu tuliopata bahati ya kujifunza mambo mbali mbali nchini Cuba, tumeelewa kwamba kwa sasa uko na mtu na ana unampa amani ya hali ya juu.
Kaka wizy, naomba kukujulia hali huko uliko.
Ahmet tujibu hapa tafadhaliVipi sehemu ya placement kwenye app, wameandika chochote?
Mfano, topic ya computer network ama computer software au componentsYani introduction iwe kidogo tu zen ingia kwenye main content
Iliandika selected for null na nafasi ilikuwa moja kapata mtu mwingine
basi umejidanganya mkuuMm tangu post yako ya kwanza humu nili jua hvyo na ndio maana nilikuwa kimya tu nawachora.
Artisan rough neck[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umefanya post gani mkuu??
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mwambie aje pm sasa ujobless umeisha usikae kizembe Kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahhh
kijana utakufa mapema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh
AuditoriumUmenionea wapi ndugu yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]venue ipi hiyo
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
ndio mkuu,niwahi stand mapemaaKwa hiyo umerudi mkoani ama?
Duh ss atkupaje hint kwni yy ni mtu wa computer mkuu?Mfano, topic ya computer network.
Nipe hints
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Duuh aiseh unanijua??[emoji848]Auditorium