Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Baraka hilo mzee
Ahaaa, niliwahi kupanda Baraka ya Dom - Dar, nilijua huwa inaishia Dar tu.

Pia huwa naiona inapita Moro road mida mibovu ikiwa inaelekea mikoani na huwa najiuliza mbona inasafiri mida mibovu sana ambapo gari nyingi za Dar - Dom zinazoondoka mchana huwa zinaishia saa 9 au 10(ikichelewa sana), kumbe lina route ya Ntwara to Idodomya
 
Baraka ana basi nyingi zinazoishia Dar ambazo zinaondoka mida tofauti Mtwara.

Ila kwa Dodoma ni basi moja tu kwa siku, stendi ya Mbezi linaingia kuanzia saa 10. Dakika 10 mbele ndio safari ya Dom inaanza.
 
Ahaaa, niliwahi kupanda Baraka ya Dom - Dar, nilijua huwa inaishia Dar tu.

Pia huwa naiona inapita Moro road mida mibovu ikiwa inaelekea mikoani na huwa najiuliza mbona inasafiri mida mibovu sana ambapo gari nyingi za Dar - Dom zinazoondoka mchana huwa zinaishia saa 9 au 10(ikichelewa sana), kumbe lina route ya Ntwara to Idodomya
Chuma ya usku hiyo dom saa 6 7 kawaida
 
Kesho kaharu kameanza nifikia kuna kaplacement ya kusukuma week
tukipata tunakuja kutoa feedback ila utumishi wanatupa moyo wa kupambana ukukandwa umekandwa kweli na wewe ukiwakanda umepita kihalali hakuna upendeleo kwa hilo nawapongeza utumishi hata sisi watoto wa wanyonge tunapambana hatukati tamaa tunaamini one day yes
 
Back
Top Bottom