both teams to score-YES
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 974
- 1,876
tunaosubr Latra written IResults tujuane...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo la Mtwara - Dom ni Maning Nice?Ndio mkuu, kuna basi linatoka Mtwara to Dodoma kla siku.
Ukikosa hilo panda mpaka Dar hapo usafiri ni wa kutosha.
Baraka hilo mzeeHilo la Mtwara - Dom ni Maning Nice?
Mtajuana huko kwenye oral mkifika maana hiyo ndio chance rahisi kuinteract kuliko kwenye writtentunaosubr Latra written IResults tujuane...
Nop,Hilo la Mtwara - Dom ni Maning Nice?
Ahaaa, niliwahi kupanda Baraka ya Dom - Dar, nilijua huwa inaishia Dar tu.Baraka hilo mzee
Baraka ana basi nyingi zinazoishia Dar ambazo zinaondoka mida tofauti Mtwara.Ahaaa, niliwahi kupanda Baraka ya Dom - Dar, nilijua huwa inaishia Dar tu.
Pia huwa naiona inapita Moro road mida mibovu ikiwa inaelekea mikoani na huwa najiuliza mbona inasafiri mida mibovu sana ambapo gari nyingi za Dar - Dom zinazoondoka mchana huwa zinaishia saa 9 au 10(ikichelewa sana), kumbe lina route ya Ntwara to Idodomya
UpoKuna usafiri wa umma kutoka huko hadi Dom?
Chuma ya usku hiyo dom saa 6 7 kawaidaAhaaa, niliwahi kupanda Baraka ya Dom - Dar, nilijua huwa inaishia Dar tu.
Pia huwa naiona inapita Moro road mida mibovu ikiwa inaelekea mikoani na huwa najiuliza mbona inasafiri mida mibovu sana ambapo gari nyingi za Dar - Dom zinazoondoka mchana huwa zinaishia saa 9 au 10(ikichelewa sana), kumbe lina route ya Ntwara to Idodomya
Yaani huwa linakuja Dar na kugeuza?Baraka ana basi nyingi zinazoishia Dar ambazo zinaondoka mida tofauti Mtwara.
Ila kwa Dodoma ni basi moja tu kwa siku, stendi ya Mbezi linaingia kuanzia saa 10. Dakika 10 mbele ndio safari ya Dom inaanza.
unakuta mwingine kaandikiwa selected for null halafu mwingine kaandikiwa not selected for null au shortilisted mar selected for oral interview status zina maana ila huwezi elewa ni ngumu sana mtu wa IT utumishi mmmh hatari sanaKwanini mkuu
Ni vyeti tu mkuuKwa mliowahi kwenda oral za utumishi, mlienda na CV au ni vyeti tuu?
Wanataka vyeti tu CV kaa nayo...!!Kwa mliowahi kwenda oral za utumishi, mlienda na CV au ni vyeti tuu?
Vyeti na kitambulishoKwa mliowahi kwenda oral za utumishi, mlienda na CV au ni vyeti tuu?
Zina maana gani hizo status?unakuta mwingine kaandikiwa selected for null halafu mwingine kaandikiwa not selected for null au shortilisted mar selected for oral interview status zina maana ila huwezi elewa ni ngumu sana mtu wa IT utumishi mmmh hatari sana
ngoja tusikilizieKesho kaharu kameanza nifikia kuna kaplacement ya kusukuma week
tukipata tunakuja kutoa feedback ila utumishi wanatupa moyo wa kupambana ukukandwa umekandwa kweli na wewe ukiwakanda umepita kihalali hakuna upendeleo kwa hilo nawapongeza utumishi hata sisi watoto wa wanyonge tunapambana hatukati tamaa tunaamini one day yesKesho kaharu kameanza nifikia kuna kaplacement ya kusukuma week