Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ila wakuu tusikate tamaa, mimi nilimaliza intern kinyonge na uku chuo nikipata GPA ambayo sio kali, nikapiga interview utumishi sikupata ila nikakaa kidgo nikapigiwa sim BMF(Benjamin Mkapa Foundation) nikasaini mkataba kabla sijamaliza nikapigiwa sim naitwa kazini nikachukue barua ya ajira nikajua ni matapeli kumbe jina lilikua kwa database. Kwahyo kama umekosa kwa sasa usikate tamaa utashangaa siku unaitwa bila ata pdf. Hadi leo washkaji niliomaliza nao hua wanashangaa nimepata vipi wakati wao bado wanakandwa kila siku na hawajatoboa bado.
 
Kweli mwamba kufika oral ni ushindi tosha mkuu
 
Hongera kiongozi naamini na sisi tutapata siku moja inshallah
 
Jamaa wa TAA kapewa ruhusa nipo nae kitaa kuhusu stutus Alikuwa Shortlisted mda mrefu ila kama siku tano zilizopita imebadilika na kuwa selected for oral hadi hivi sasa
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kaka nipo hapa nanyoosha suti yangu wiki ijayo nikachukue barua yangu wasipotoa pdf itanikutaga huko kazini
 
Back
Top Bottom