๐๐๐๐๐Mwanangu Jana tu ulikua jobless kama mimi tena wakuulizia status kama mimi leo umetoboa daaah uhakika sana mzee lazima tutatoboa humuShukrani sana kiongoz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Mwanangu Jana tu ulikua jobless kama mimi tena wakuulizia status kama mimi leo umetoboa daaah uhakika sana mzee lazima tutatoboa humuShukrani sana kiongoz
Kweli mwamba kufika oral ni ushindi tosha mkuuIla wakuu tusikate tamaa, mimi nilimaliza intern kinyonge na uku chuo nikipata GPA ambayo sio kali, nikapiga interview utumishi sikupata ila nikakaa kidgo nikapigiwa sim BMF(Benjamin Mkapa Foundation) nikasaini mkataba kabla sijamaliza nikapigiwa sim naitwa kazini nikachukue barua ya ajira nikajua ni matapeli kumbe jina lilikua kwa database. Kwahyo kama umekosa kwa sasa usikate tamaa utashangaa siku unaitwa bila ata pdf. Hadi leo washkaji niliomaliza nao hua wanashangaa nimepata vipi wakati wao bado wanakandwa kila siku na hawajatoboa bado.
Hongera kiongozi naamini na sisi tutapata siku moja inshallahIla wakuu tusikate tamaa, mimi nilimaliza intern kinyonge na uku chuo nikipata GPA ambayo sio kali, nikapiga interview utumishi sikupata ila nikakaa kidgo nikapigiwa sim BMF(Benjamin Mkapa Foundation) nikasaini mkataba kabla sijamaliza nikapigiwa sim naitwa kazini nikachukue barua ya ajira nikajua ni matapeli kumbe jina lilikua kwa database. Kwahyo kama umekosa kwa sasa usikate tamaa utashangaa siku unaitwa bila ata pdf. Hadi leo washkaji niliomaliza nao hua wanashangaa nimepata vipi wakati wao bado wanakandwa kila siku na hawajatoboa bado.
Ni kweli kabisa mkuu, ila ukiingia kweli kulamba asali kuna mambo yanakua simple sana tofauti na ujobless, nawaombea sana mfanilishe ndugu zangu.Hongera kiongozi naamini na sisi tutapata siku moja inshallah
AmiiinNi kweli kabisa mkuu, ila ukiingia kweli kulamba asali kuna mambo yanakua simple sana tofauti na ujobless, nawaombea sana mfanilishe ndugu zangu.
Amen itakuwa heri tu tunaamini hivyo maana Ujobless unatesa sanaNi kweli kabisa mkuu, ila ukiingia kweli kulamba asali kuna mambo yanakua simple sana tofauti na ujobless, nawaombea sana mfanilishe ndugu zangu.
Mwanangu nakuombea sana uje utusue naww uniombee maana huu uzi tunauchangamsha mno๐Amen itakuwa heri tu tunaamini hivyo maana Ujobless unatesa sana
๐๐๐๐Kaka nipo hapa nanyoosha suti yangu wiki ijayo nikachukue barua yangu wasipotoa pdf itanikutaga huko kaziniJamaa wa TAA kapewa ruhusa nipo nae kitaa kuhusu stutus Alikuwa Shortlisted mda mrefu ila kama siku tano zilizopita imebadilika na kuwa selected for oral hadi hivi sasa
๐๐๐๐Hahhhh mzee lazima tuombeane aseeh siku nikienda kuchukua barua nitazama kwanza chako ni chako hahhhhMwanangu nakuombea sana uje utusue naww uniombee maana huu uzi tunauchangamsha mno๐
Kwako ilibadilika pia kwani๐๐๐๐Kaka nipo hapa nanyoosha suti yangu wiki ijayo nikachukue barua yangu wasipotoa pdf itanikutaga huko kazini
๐๐๐๐ Mungu ni mwema tuombeane tu๐๐๐๐Hahhhh mzee lazima tuombeane aseeh siku nikienda kuchukua barua nitazama kwanza chako ni chako hahhhh
Ndio mzee ilibadilika lakini ya TAEC haijabadilikaKwako ilibadilika pia kwani
Inshallah Itakuwa heri tuamini tu๐๐๐๐ Mungu ni mwema tuombeane tu
Basi hiyo iliyobadilika upo kwe Pdf tayari mzee huyu mwamba TAA ilivyobadilika alijua kaliwa kichwa nahisi hadi kuumwa ๐๐๐๐Ndio mzee ilibadilika lakini ya TAEC haijabadilika
Ilibadilika kwa wote hiyo shortlisted kwend selected for oralJamaa wa TAA kapewa ruhusa nipo nae kitaa kuhusu stutus Alikuwa Shortlisted mda mrefu ila kama siku tano zilizopita imebadilika na kuwa selected for oral hadi hivi sasa
๐๐๐๐๐mamaeee status inapobadilika lazima joto lipande kama huna uzoefu nazo hahhhhBasi hiyo iliyobadilika upo kwe Pdf tayari mzee huyu mwamba TAA ilivyobadilika alijua kaliwa kichwa nahisi hadi kuumwa ๐๐๐๐
Nafikiri inabadilika kwa woteIlibadilika kwa wote hiyo shortlisted kwend selected for oral
Siyo kwa wote amini hivyo kunavwengine bado shortlisted hadi sasaNafikiri inabadilika kwa wote