Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
.na mida wa mafunzo unapewa hela sio bure
Ndio maana jamaa aliomba discharge fast kule wodini jana baada ya pdf kupanda hewani[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.na mida wa mafunzo unapewa hela sio bure
Vijana wa hovyo kwenye ubora wenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikinunua Subaru kabla yako nakuazima uwe unajitafutia utelezi kilaini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uziri wa Airport kila mtu anatamani akafanye kazi pale yaani mazingira ya kazi ni mazuri unaweza kunenepa hata kama hulipwi[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza kuziona ndege tu moyo unasuuzika mamaeee
Jobless umevurugwa sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naenda kupigia honi getini kwao hahhhh wakiuliza vipi nawambia nimewaletea huu mkokoteni mkachotee maji
Usiache kuangalia mikeka mipya inayoendelea kutokaHii inamaana Jobless niendeleee kupitia mikeka ya placement huenda nikaja kujikuta nimo kwenye dimbwi la asali
😂😂😂😂Hahhhh jobless anae apate utelezi
Ukiingia oral marks zake zinajitegemea mzeeIvi ukiingia oral huwa wanajumlisha na pass marks ya written au practical au ukiingia oral wanaanza upya kukukanda je mfano Naweza ongoza practical maybe oral tumefika 7 nafasi 4 na nikiingia oral naweza kukandwa mfano poa nisaidieni jibu
😂😂😂😂Umeshamaliza oral?Nirudi zangu home Sasa, maana Hawa jamaa wanakanda mpk mood Inaisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#Mkongo WA asali WA taifa.
Nasubiria ya mwezi wa tisa na mwezi 11😂😂😂😂wizy Yaani wewe umefanya usaili mwezi wa 11 unawaza placements Sasa hivi😂😂😂😂😂😂
Uhakika weekend dom inakuwaga kama Toronto au newyork 😂Ili inoge zaidi, nenda weekend. Yaani Ijumaa upo Dom.
Sidhani kama yanaishaga Yale😂😂😂😂Ngoja wajeMliofanikiwa mlijibu maswali yote kwa usahihi?
Nimemaliza kaka,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeshamaliza oral?
Nawasubiri tu maana daah oral nayo inavuruga Sana na ukiiwaza ulivyoipata sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sidhani kama yanaishaga Yale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja waje
😂😂😂😂Ukitoka oral lazima uchanganyikiwe kidgo ukianza kuwaza ulichojibu aseeehNawasubiri tu maana daah oral nayo inavuruga Sana na ukiiwaza ulivyoipata sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
gud gud mzeeNimemaliza kaka,