Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ukipata kz lazma useme anaupiga mwingi hahah ukikandwa hiyo kauli inakua na ukakasi kdgo 🤣
Screenshot_20230104-203042.jpg

Mimi nilianza kuamini ANAUPIGA MWINGI kabla hata ya kupata placement. Hii niliandika June mwaka jana
 
Kuna siku nilikuona kule, ukawa unahadithia hatua mbili tatu kuhusu biashara, baadaye nikaona watu wakaanza kukuomba mtete PM.

Mimi nilipita tu kimya kimya bila kutia neno wala like, maana ukilike, quote, reply tayari mtu anajua ushasoma post yake[emoji3][emoji3]
Mtete ndio nini tena mwifwa😂😂
 
Mtete ndio nini tena mwifwa[emoji23][emoji23]
Kuteta ni kuongea kwa sauti ya chini ili hata walio karibu wasisikie. Kwa mfano kama ushawai angalia hotuba za viongozi utaona mlinzi wake anaenda kumwambia kitu karibu na sikio [emoji2][emoji2][emoji2]kama nitakuwa nimekosea nirekebishwe
 
Ahaa nilijua ni msamiati mpya wa jf😂
 
Sema ameongea ukweli, ni kweli anaupiga mwingi, ni bora kwa kidogo alichofanya ila sio kuacha kuajiri kabisa.
Nilimpongeza Mh. Samia tangu mwezi wa 6 mwaka jana kipindi ambacho hata kwenye interview sikujua kama nitaitwa. Mimi Huwa nafurahi tu nikiona watu wanaajiriwa Kwa wingi coz najua ahueni ya maisha inaweza kuja.

Huko nyuma sikuwahi kuona hata tangazo tu la fani yangu mpaka nikahisi nimesoma bachelor ambayo ni useless.
 
Back
Top Bottom