Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mwifwa na wengineo,mmefanya huu uzi kuwa mtamu sana.Yani hakuna siku vijana wote waliokandwa au wanaokandwa watashindwa kuingia humu kujifariji kidogo.Tuendelee kumuomba Mungu na tuiombee Serikali yetu iendelee kutoa Ajira kwa wingi.
Pongezi kwao
Sekretarieti ya Ajira kwa kuendesha michakato hii ya Ajira,hakika ni raha Sana kuona vijana wenzetu tunaowafahamu wamepata Ajira,inatia matumaini sana ya Kuwa nasi Wakati wetu ukifika basi Tutapata.
Mungu ni wetu Sote.Tuendelee kupambana na kumtanguliza yeye vijana wenzangu.
 
Ameeen
 
Amen
 
Achananeni na masuala ya status lakini Kwenye app kam umefanya not selected for null we ni baba jeni bye bye[emoji85][emoji85] bora uangalie ujue nishakandwa au nimekanda ukiwa na selected for null Kwenye app unakua na matumaini ya kupata asilimia 70
Not selected for null huna hata asilimia gani 0000
 
Usg

Ushachukua Barua Mkuu..
 
Habari ya Dodoma mkuu, umeshafanikiwa kuchukua barua yako?.
 
Achananeni na masuala ya status lakini Kwenye app kam umefanya not selected for null we ni baba jeni bye bye[emoji85][emoji85] bora uangalie ujue nishakandwa au nimekanda ukiwa na selected for null Kwenye app unakua na matumaini ya kupata asilimia 70
Not selected for null huna hata asilimia gani 0000
Ni kweli bora ukaangalia km una not selected for null uache kutarajia kitu impossible maisha yaendleee
 
Back
Top Bottom