mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Wadau Leo Hamna PDF la Placements la Weekend Njema???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmeeenMwifwa na wengineo,mmefanya huu uzi kuwa mtamu sana.Yani hakuna siku vijana wote waliokandwa au wanaokandwa watashindwa kuingia humu kujifariji kidogo.Tuendelee kumuomba Mungu na tuiombee Serikali yetu iendelee kutoa Ajira kwa wingi.
Pongezi kwao
Sekretarieti ya Ajira kwa kuendesha michakato hii ya Ajira,hakika ni raha Sana kuona vijana wenzetu tunaowafahamu wamepata Ajira,inatia matumaini sana ya Kuwa nasi Wakati wetu ukifika basi Tutapata.
Mungu ni wetu Sote.Tuendelee kupambana na kumtanguliza yeye vijana wenzangu.
[emoji1787][emoji1787]Hapana kaka
Status yako inasemaje huko.. bila shaka ulifanya Oral.. Tuambie MadamHivi majina ya waliofaulu oral NAOT yalishagatoka jaman!?
AmenMwifwa na wengineo,mmefanya huu uzi kuwa mtamu sana.Yani hakuna siku vijana wote waliokandwa au wanaokandwa watashindwa kuingia humu kujifariji kidogo.Tuendelee kumuomba Mungu na tuiombee Serikali yetu iendelee kutoa Ajira kwa wingi.
Pongezi kwao
Sekretarieti ya Ajira kwa kuendesha michakato hii ya Ajira,hakika ni raha Sana kuona vijana wenzetu tunaowafahamu wamepata Ajira,inatia matumaini sana ya Kuwa nasi Wakati wetu ukifika basi Tutapata.
Mungu ni wetu Sote.Tuendelee kupambana na kumtanguliza yeye vijana wenzangu.
Itakuwa poa sana asee.PDF hizo tunasubiri kwa hamu sana.Week ijayo bila shaka pdf za Mwezi wa October na November zitamwagika pale kwenye section ya Placement Kaeni mkao wa kula..
Huu ni mwaka wa Neema huu
Taratibu mzee.hazikawii kukusapraizi hizi Pdf kama mzee wizyItakuwa poa sana asee.PDF hizo tunasubiri kwa hamu sana.
Hahahaha uhakika kaka,tunapenda tujue mapema ili tuendelee na mambo mengine.Maana hatujui hatma zetu kwa Sasa.Si unajua tenaTaratibu mzee.hazikawii kukusapraizi hizi Pdf kama mzee wizy
Cc@Wkingz .
Chungulia na jicho moja tu.
Mazaga ulifanya Oral lini na time now Status inasemaje Huku..?Itakuwa poa sana asee.PDF hizo tunasubiri kwa hamu sana.
Mwezi Wa 11, Status niliangalia mara moja tu,Tena baada ya kuomba nafasi nyingine.Ila sifuatilii Tena status... Nadhani PDF na taasisi husika niliyofanya usaili ndio ya muhimu.Mazaga ulifanya Oral lini na time now Status inasemaje Huku..?
Ushachukua Barua Mkuu..Achananeni na masuala ya status lakini Kwenye app kam umefanya not selected for null we ni baba jeni bye bye[emoji85][emoji85] bora uangalie ujue nishakandwa au nimekanda ukiwa na selected for null Kwenye app unakua na matumaini ya kupata asilimia 70
Not selected for null huna hata asilimia gani 0000
Achananeni na masuala ya status lakini Kwenye app kam umefanya not selected for null we ni baba jeni bye bye[emoji85][emoji85] bora uangalie ujue nishakandwa au nimekanda ukiwa na selected for null Kwenye app unakua na matumaini ya kupata asilimia 70
Not selected for null huna hata asilimia gani 0000
Ni kweli bora ukaangalia km una not selected for null uache kutarajia kitu impossible maisha yaendleeeAchananeni na masuala ya status lakini Kwenye app kam umefanya not selected for null we ni baba jeni bye bye[emoji85][emoji85] bora uangalie ujue nishakandwa au nimekanda ukiwa na selected for null Kwenye app unakua na matumaini ya kupata asilimia 70
Not selected for null huna hata asilimia gani 0000
Selected for oralStatus yako inasemaje huko.. bila shaka ulifanya Oral.. Tuambie Madam
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wizy achana na mjadala wa status, tulipumua kipindi ulipotoweka[emoji3][emoji3].
Sasa umerudi naona umeanza pale ulipoishia....
Kama yalivokukuta,pole dear,ila usingekimbia. We are for each other[emoji3059]Ngojaaa yakukute[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], hutaamini macho yako[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26].