Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hao sio wengi Kama lile zigo la MDA & LGA.. Ile ilikuwa hatari Dodoma ingefurika mno.

Ila Kuna kitu nimekiona, kutokana na taasisi nyingi kuita usaili mwishoni mwa January So unakuta mtu katokea taasisi tatu na ni sehemu tofautitofauti na mida kama inafanana kimtindo.
Kuna Mashikaji wangu hapa kaitwa;

• Dodoma; Usaili mchujo ni tar 29
January, mda wa pepa ni saa 7
mchana[emoji23] hapa Oral ni kuanzia tarh 2 - 5 ferbuary

• UDSM; Usaili wa mchujo ni tar
28 January saa 1 asubuhi then
Oral ni tar 30 kama atafanikiwa
kufika Oral

• Hapohapo ana Usaili mwingine
wa Oral mojaKwaMoja tar 30
January.(Yaan ni post nyingine inajitegemea, Oral pekee)

Halafu Yuko huko Kanda ya Ziwa sijui atajigawa vipi hapa [emoji23][emoji23]
Ya udsm haipotezee tu, afanye written ya dom ya ter 29, kisha kesho yake huko dom afanye oral aliyoitwa moja kwa moja bila mkando hapa hata akikosa anaweza kuingia database, kisha asubirie majibu ya mkando wa tar 29 km atakuwa selected basi afanye hiyo oral iyo terehe 2-5
 
Haya, wale mkiosubiria Wizara ya kilimo tayari majina hadharani mkapambane Usaili huko, Wale wa TPDC mambo hadharani pia
Wiza ya kilimo wamebakiza RECEIVED za lile bogi la nafasi 100 za maafisa kilimo. Nakumbuka zilitangazwa july pamoja TARI.
 
Wiza ya kilimo wamebakiza RECEIVED za lile bogi la nafasi 100 za maafisa kilimo. Nakumbuka zilitangazwa july pamoja TARI.
Tayari hizi mkuu TUMEITWA USAILI UDOM CIVE TAR 29 JANUARY SAA 7 MCHANA WRITTEN NA TAR 5 FEB SAA1 ORAL MIGIRO
SHTUKA CHAP. BADO KUPEWA NAMBA TU KWENYE WEB.
Zimetoka kwenye pdf refu lile la kuitwa usaili taasisi mbalimbali.
 
Back
Top Bottom