Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Kumekucha hukuKesho naenda bank na "Shangazi kaja" kuchukua mahela yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekucha hukuKesho naenda bank na "Shangazi kaja" kuchukua mahela yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesho naenda bank na "Shangazi kaja" kuchukua mahela yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukihitaji wabebaji tupo[emoji3060][emoji3060][emoji3060]Kesho naenda bank na "Shangazi kaja" kuchukua mahela yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaka best wishes, ukawe mtumishi mwema[emoji1431][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Best wishes kaka, ukawe mtumishi mwema[emoji1431][emoji3][emoji23][emoji1787]
Wewe umeshaanza kula asali, nasikia kwenu mirija ya asali ishaanza kutiririsha mkuu.[emoji3][emoji23][emoji1787]
nikusindikize meckKesho naenda bank na "Shangazi kaja" kuchukua mahela yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sitaki kipindi Cha nyuma ulikua unanitenga 🤣🤣🤣nikusindikize meck
Unataka unitapeli mamilioni yanguUkihitaji wabebaji tupo[emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Kesho naenda bank na "Shangazi kaja" kuchukua mahela yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema mpaka Sasa hawajaweka namba za mitihani ndo maana jamaa anashindwa kielewa sababu ya kutoitwa.. hebu tusubiri kesho siku ya kazi
Ya udsm haipotezee tu, afanye written ya dom ya ter 29, kisha kesho yake huko dom afanye oral aliyoitwa moja kwa moja bila mkando hapa hata akikosa anaweza kuingia database, kisha asubirie majibu ya mkando wa tar 29 km atakuwa selected basi afanye hiyo oral iyo terehe 2-5Hao sio wengi Kama lile zigo la MDA & LGA.. Ile ilikuwa hatari Dodoma ingefurika mno.
Ila Kuna kitu nimekiona, kutokana na taasisi nyingi kuita usaili mwishoni mwa January So unakuta mtu katokea taasisi tatu na ni sehemu tofautitofauti na mida kama inafanana kimtindo.
Kuna Mashikaji wangu hapa kaitwa;
• Dodoma; Usaili mchujo ni tar 29
January, mda wa pepa ni saa 7
mchana[emoji23] hapa Oral ni kuanzia tarh 2 - 5 ferbuary
• UDSM; Usaili wa mchujo ni tar
28 January saa 1 asubuhi then
Oral ni tar 30 kama atafanikiwa
kufika Oral
• Hapohapo ana Usaili mwingine
wa Oral mojaKwaMoja tar 30
January.(Yaan ni post nyingine inajitegemea, Oral pekee)
Halafu Yuko huko Kanda ya Ziwa sijui atajigawa vipi hapa [emoji23][emoji23]
OyeeeTARI OYEE!!!
yamekuwa hayo,shauri yako ngoja utekweSitaki kipindi Cha nyuma ulikua unanitenga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amina, ntakuja kukuchangia😇Best wishes kaka, ukawe mtumishi mwema[emoji1431]
NMB badoWewe umeshaanza kula asali, nasikia kwenu mirija ya asali ishaanza kutiririsha mkuu.
Wiza ya kilimo wamebakiza RECEIVED za lile bogi la nafasi 100 za maafisa kilimo. Nakumbuka zilitangazwa july pamoja TARI.Haya, wale mkiosubiria Wizara ya kilimo tayari majina hadharani mkapambane Usaili huko, Wale wa TPDC mambo hadharani pia
Tayari hizi mkuu TUMEITWA USAILI UDOM CIVE TAR 29 JANUARY SAA 7 MCHANA WRITTEN NA TAR 5 FEB SAA1 ORAL MIGIROWiza ya kilimo wamebakiza RECEIVED za lile bogi la nafasi 100 za maafisa kilimo. Nakumbuka zilitangazwa july pamoja TARI.