ann056
Senior Member
- Nov 7, 2021
- 183
- 245
hopefully from next wk kunaweza kukawa n jamboKuna placement za HESLB still hazijatolewa, oral yao ilipishana siku moja tu na NAOT.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hopefully from next wk kunaweza kukawa n jamboKuna placement za HESLB still hazijatolewa, oral yao ilipishana siku moja tu na NAOT.
Ratiba sawa. je matokeo si yatolewe kwanzaKama mtakumbuka kwenye tangazo interview ya MDA'S na LGA walisema kwenye ratiba kuwa usahili mwingine ratiba itapangwa so wao wapo kwenye lane yao kikubwa ni kuwa na subra
Hawa hakuna tatizo hata scripts zao ni nyingi sana.Ratiba Yao ilieleza vizuri mbona.Hawa wavute subira tu.Kama mtakumbuka kwenye tangazo interview ya MDA'S na LGA walisema kwenye ratiba kuwa usahili mwingine ratiba itapangwa so wao wapo kwenye lane yao kikubwa ni kuwa na subra
Research Officer Mzee wa SUA,TARI sio muda watatoa placementHESLB bado nyie wa November December subirieni sana😁
Nastaajabu,, yaan hizi taasisi za Kilimo nazo wanachelewesha hawajui huu ndio mda wa Kilimo au wanataka watu waajiriwe kiangazi wakale wifi za Bure tu huko Ofisini..Research Officer Mzee wa SUA,TARI sio muda watatoa placement
Negativity itakuua!!cha kukuongezea sio kila usaili majibu ya writen hutoka siku moja kabla pole sana mengine hutoka wiki moja kabla ya oral
Ratiba ilieleza kuwa itachukua zaidi ya siku 20 kupata matokeo?Hawa hakuna tatizo hata scripts zao ni nyingi sana.Ratiba Yao ilieleza vizuri mbona.Hawa wavute subira tu.
Placement kuchelewa baada ya oral ndio inshu Kubwa.
Kila la kheri mkuu. Mungu awe naweShukuran sana nipo hukuhuku dom nasubir kuwakanda [emoji3][emoji3]
Hahahahaaa.Mkuu ndo mshahara wako unapotoka huko.
Shukrani mkuu.Kila la kheri wapambanaji wote wa mrija wa Asali. Mungu yupo pamoja nanyi.
MKONO KWA MKONO HADI KWEMYE PIPA LA ASALI
Kweli aisee, labda mwezi huu zinaweza kutokaKuna placement za HESLB still hazijatolewa, oral yao ilipishana siku moja tu na NAOT.
Heeee, unasema kweli??Yapata siku 20 sasa majibu ya written MDAs na LGAs hayajatolewa na dalili hakuna
Hizo za MDA na zile za TRA zipi zilikua na scripts nyingi?Hawa hakuna tatizo hata scripts zao ni nyingi sana.Ratiba Yao ilieleza vizuri mbona.Hawa wavute subira tu.
Placement kuchelewa baada ya oral ndio inshu Kubwa.
Sasa hili swali lako unataka akujibu kuwa anasema uongo?Heeee, unasema kweli??
Haha kaka wanasema we ndo jobless mwenye hasira kaliSasa hili swali lako unataka akujibu kuwa anasema uongo?
Ebu muwe mnauliza vitu vyenye mantiki.
Hahaha,. Ila maswali mengine, unasoma halafu unaishia kujisemea tu, hiiii!!!Haha kaka wanasema we ndo jobless mwenye hasira kali
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Script mnamanisha mtofautiano wa tarehe kwa kada tofauti tofauti wakati wa oral.Hizo za MDA na zile za TRA zipi zilikua na scripts nyingi?