Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kama mtakumbuka kwenye tangazo interview ya MDA'S na LGA walisema kwenye ratiba kuwa usahili mwingine ratiba itapangwa so wao wapo kwenye lane yao kikubwa ni kuwa na subra
Hawa hakuna tatizo hata scripts zao ni nyingi sana.Ratiba Yao ilieleza vizuri mbona.Hawa wavute subira tu.
Placement kuchelewa baada ya oral ndio inshu Kubwa.
 
Research Officer Mzee wa SUA,TARI sio muda watatoa placement
Nastaajabu,, yaan hizi taasisi za Kilimo nazo wanachelewesha hawajui huu ndio mda wa Kilimo au wanataka watu waajiriwe kiangazi wakale wifi za Bure tu huko Ofisini..
Sikutegemea kina Balozi limited wasote Hadi mda huu kusubiri hizi placements za TARI na ASA
 
Hawa hakuna tatizo hata scripts zao ni nyingi sana.Ratiba Yao ilieleza vizuri mbona.Hawa wavute subira tu.
Placement kuchelewa baada ya oral ndio inshu Kubwa.
Ratiba ilieleza kuwa itachukua zaidi ya siku 20 kupata matokeo?

Kipi kimekufanya uamini kuwa hawa "sript" zao zipo nyingi, ni majina ya shortlist au umepata attendance walioitika na kuhudhuria usaili?

Placement kuchelewa baada ya oral ndio issue kubwa, sasa huoni kadiri matokeo ya written yanavyochelewa yatazidi kupelekea kuchelewa kwa oral na plecement kuchelewa baada ya oral na kuwa issue kubwa zaidi?
 
Back
Top Bottom