Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Kwa kweli kaka watupe tips hapa hivi inakuaje wadau mnakuwaga mko vzr sana kwenye panel au siri ni nn ilijificha hapo????Ohy wakuu mnaopataga kazi huko PSRS, hv mnajibugi Yale maswali yote ya points 5, 5 au ndo kismart tu..
Hebemu tuambieni kwanza nasi tujue..