Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ngoja waje kaka watoe mirejesho
Aaaah humu watu wakipata basi wanapenda kujipakulia nyama utasikia niliwapelekea moto panel balaa, kumbe kapita kwa Sympathy ya Panel washaona kijna Umri unamtupa mkono na Maisha Hana,, hebu basi tumbless na hii job... Yanafanyika haya kabisa😁

Au nasema uongo ndugu zangu..?
 
Kweli mtu unajiona mtabe kweli kumbe hamna siku yako ilifika tu ya kufanikiwa
 
Habari ya jioni Wana jf,

Hongereni Kwa wote mliolamba asali, BINAFSI sijabahatika.

Nilikuwa nasubiria placement HESLB nafasi ya Loan Officer.

Kwa mnaosubiri placement Pdf ndio kila ktu, stutus si za uhakika/ kutegemea.

Stutus kwenye website ni SELLECTED FOR Oral ya kijani na kwenye app ni SELLECTED FOR null.
Hongera na Pole pia,,,ni njia moja wapo ya kukusubirisha upate kazi nyingine lets keep pushing🦾🦾🦾🦾🦾
 
Aaaah humu watu wakipata basi wanapenda kujipakulia nyama utasikia niliwapelekea moto panel balaa, kumbe kapita kwa Sympathy ya Panel washaona kijna Umri unamtupa mkono na Maisha Hana,, hebu basi tumbless na hii job... Yanafanyika haya kabisa[emoji16]

Au nasema uongo ndugu zangu..?
Yeah sure, hapo baada ya oral kinachobakia ni NEEMA TU YA MWENYEZI MUNGU KWA WAJA WAKE. Wacha tuendelee kuona kila mrejesho wa walamba asali nasi tuko njiani
 
Ingependeza kama tungepata mirejesho kutoka kwa wenzetu waliotangulia kulamba asali cku hzi za karibuni juu ya sahili zao za oral zilivokuwa jinsi walivojibu maswali na matarajio yao yalikuw vip baada ya kutoka kweny chumba cha wakandaji
Mkuu kama una saili we jiandae vizuri tu mambo ya kupata ni Mungu tu anasaidia Kuna watu wanatoka kwenye vyumba vya Usaili wakiwa wamevurugwa hawaelewi kilichotokea ndani.. Ila pdf likitoka yumo.
Piga zako amsahlili kwa kuattempt unachokiweza au kujua then kula Kona usiwaze hata nn, KIKUBWA UHAI TU ..
 
Au sio kaka[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom