Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwa wale tunaosubiria placements hebu tupitie hapa;

MDAs & LGA's, TAWA, MPRU, MJNUAT
hizi taasisi zilifanya Oral tar 23Nov - 30 Nov.

TAEC, ARIMO,AAI,RUWASA,SUA,MOCU,TMC
Hizi taasisi zilifanya Oral tar 28Nov -01Dec.

ARU, LITA, OSHA, BASATA, TMDA, LATRA, TARI, TGDC, MWAUSA,WIZARA YA KILIMO. Hizi taasisi zilifanya oral ta 06 - 07Dec.

ASA, hii taasisi ilifanya Ilifanya oral tar 08Dec.

Sasa nyie mliofanya Mwezi wa December2022 na January 2023 tukiwaambia Muwe na subrah muelewe..
Tazama huo utitiri wa taasisi huko juu Toka mwezi November mwishoni hakuna iliyopata placements 💪
 
Kwa wale tunaosubiria placements hebu tupitie hapa;

MDAs & LGA's, TAWA, MPRU, MJNUAT
hizi taasisi zilifanya Oral tar 23Nov - 30 Nov.

TAEC, ARIMO,AAI,RUWASA,SUA,MOCU,TMC
Hizi taasisi zilifanya Oral tar 28Nov -01Dec.

ARU, LITA, OSHA, BASATA, TMDA, LATRA, TARI, TGDC, MWAUSA,WIZARA YA KILIMO. Hizi taasisi zilifanya oral ta 06 - 07Dec.

ASA, hii taasisi ilifanya Ilifanya oral tar 08Dec.

Sasa nyie mliofanya Mwezi wa December2022 na January 2023 tukiwaambia Muwe na subrah muelewe..
Tazama huo utitiri wa taasisi huko juu Toka mwezi November mwishoni hakuna iliyopata placements [emoji123]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee wa Subra hapo itategemea na uhitaji wa Taasisi na sio hivyo unavyofikiria.
 
Naona jamaa leo kapotea kabisa,, japo maswali yaliwekwa humu jioni ya Leo Ila Huyu Balozi limited Kawa adimu.

Balozi limited njoo utoe ushuhuda wa oral yako leo naamini kati ya yale maswali manne ya darasa kama umepata matatu then moja likakutoa jasho au ukajibu point 1 ya mchongo basi ushaongeza selection for Null kule kwenye App.
Kinachotakiwa kwanza ni kujibu ya darasani ma3 kati ya yale ma4..
Balozi limited Mkuu vipi maswali ya Oral? Hebu yaweke hapa.
 
Haya mabadiliko yanatokea time ipi after oral?
Una kaa muda gani hizo status kuanza kujibadilisha badilisha maumbile?
Mwenyewe sijui mkuu,, App yenyewe nimepakuwa leo tu ili nitest kuitumia na sio mfuatiliaji wa hizo vitu. So Sina experience yoyote Ile indeed.

So, kama unasubiria mkeka basi endelea kusubiria tu ujue mbivu na mbichi
 
Naona jamaa leo kapotea kabisa,, japo maswali yaliwekwa humu jioni ya Leo Ila Huyu Balozi limited Kawa adimu.

Balozi limited njoo utoe ushuhuda wa oral yako leo naamini kati ya yale maswali manne ya darasa kama umepata matatu then moja likakutoa jasho au ukajibu point 1 ya mchongo basi ushaongeza selection for Null kule kwenye App.
Kinachotakiwa kwanza ni kujibu ya darasani ma3 kati ya yale ma4..
Hahahahaha, mkuu inaonekana una uzoefu na hizi mambo, kumbe kuna muda ngoma inabana, unaambulia point moja ya taabu sana, baada ya kuambiwa na panelist, jibu lolote tu.
 
Back
Top Bottom