Wkingz
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 487
- 1,220
Kwanini asiwe kwenye pdf, awe kwenye data base???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini asiwe kwenye pdf, awe kwenye data base???
Anhaaaa hapo sawaapo inaamanisha upo kwenye database au kwenye mkeka placement ikitoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
inamaanisha yupo kwenye database au mkeka placement ikitoka.Kwanini asiwe kwenye pdf, awe kwenye data base???
Kumbe una placements mbili wazisubiri Mzee ..Naona vitu vimeganda tu huko kwenye App...
Hamna Cha mabadiliko Wala makasiriko[emoji16]View attachment 2507577
Yaaap hyo mitego miwili wasipojiangalia vizuri wanaweza kunasia kotekote dadeq😂😂Kumbe una placements mbili wazisubiri Mzee ..
Ni Kuombea Mungu tu mambo yaende sawa.Watakaowahi kutoa placement ndio huko huko unafua mabegi kuelekea.Yaaap hyo mitego miwili wasipojiangalia vizuri wanaweza kunasia kotekote dadeq😂😂
Database tena mkuu..!! hiyo mitego hawachomoki hapo lazima wanase tu kokote, wakijitekenya kidogo basi ni kotekote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee wa Subra hapo itategemea na uhitaji wa Taasisi na sio hivyo unavyofikiria.Kwa wale tunaosubiria placements hebu tupitie hapa;
MDAs & LGA's, TAWA, MPRU, MJNUAT
hizi taasisi zilifanya Oral tar 23Nov - 30 Nov.
TAEC, ARIMO,AAI,RUWASA,SUA,MOCU,TMC
Hizi taasisi zilifanya Oral tar 28Nov -01Dec.
ARU, LITA, OSHA, BASATA, TMDA, LATRA, TARI, TGDC, MWAUSA,WIZARA YA KILIMO. Hizi taasisi zilifanya oral ta 06 - 07Dec.
ASA, hii taasisi ilifanya Ilifanya oral tar 08Dec.
Sasa nyie mliofanya Mwezi wa December2022 na January 2023 tukiwaambia Muwe na subrah muelewe..
Tazama huo utitiri wa taasisi huko juu Toka mwezi November mwishoni hakuna iliyopata placements [emoji123]
mungu atatenda... inaonyesha ulijibu maswali yote ya oral vzuri kakaDatabase tena mkuu..!! hiyo mitego hawachomoki hapo lazima wanase tu kokote, wakijitekenya kidogo basi ni kotekote
Hivii kwenye website hakuna huu unyama??Naona vitu vimeganda tu huko kwenye App...
Hamna Cha mabadiliko Wala makasiriko[emoji16]View attachment 2507577
Hakuna mkuu hayo mambo ni kwenye app tuHivii kwenye website hakuna huu unyama??
Yaaah, kuhusu kufaulu Oral sio shida kwangu Ila mawazo yapo kwenye mikeka tu na hii inaweza ikawa ni kwa watu wengi.. jotojoto lipo kwa PDF😂mungu atatenda... inaonyesha ulijibu maswali yote ya oral vzuri kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Balozi limited Mkuu vipi maswali ya Oral? Hebu yaweke hapa.
Haya mabadiliko yanatokea time ipi after oral?Naona vitu vimeganda tu huko kwenye App...
Hamna Cha mabadiliko Wala makasiriko[emoji16]View attachment 2507577
Mwenyewe sijui mkuu,, App yenyewe nimepakuwa leo tu ili nitest kuitumia na sio mfuatiliaji wa hizo vitu. So Sina experience yoyote Ile indeed.Haya mabadiliko yanatokea time ipi after oral?
Una kaa muda gani hizo status kuanza kujibadilisha badilisha maumbile?
Una uwakika kiasi ganapo inaamanisha upo kwenye database au kwenye mkeka placement ikitoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha, mkuu inaonekana una uzoefu na hizi mambo, kumbe kuna muda ngoma inabana, unaambulia point moja ya taabu sana, baada ya kuambiwa na panelist, jibu lolote tu.Naona jamaa leo kapotea kabisa,, japo maswali yaliwekwa humu jioni ya Leo Ila Huyu Balozi limited Kawa adimu.
Balozi limited njoo utoe ushuhuda wa oral yako leo naamini kati ya yale maswali manne ya darasa kama umepata matatu then moja likakutoa jasho au ukajibu point 1 ya mchongo basi ushaongeza selection for Null kule kwenye App.
Kinachotakiwa kwanza ni kujibu ya darasani ma3 kati ya yale ma4..