Hongera sana jamaa, nilipelekwa huko pia, sema daah, nilienda ripoti hiyo mitaa, nilifika hoi na ni kijijini huko ndanindani, mwenyeji ananiambia hapa ndiyo senta na maeneo rasmi utakayofanyia kazi ni km 40 toka hapa, nikalengwa na huzuni kali.wakuu lazima tutoe mrejesho hapa
hatimaye nimeangukia halmashauri leo
Nawashukuru ndugu zangu
nawashukuru psrs
Nikajisemea moyoni hivi hii placement yangu wamekosea nini??? Hahahaha halmashauri aka LGA, nimechoka, nilisepa na kurudi mkoani kwangu, wewe head wa dept. Hauwezi niforce nireport kituoni na nianze kazi wakati hela ya kujikimu na mshahara bado, na majibu simpo eti utapata wadau huko, nikasema head wa depts. Wengine ni waduanz...
Anyway tunashukuru kwa yote.