Kila la kheri ktk utumishi wako[emoji1666]Habari za muda huu
Na mimi nimelamba asali
Alhamdulilah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri ktk utumishi wako[emoji1666]Habari za muda huu
Na mimi nimelamba asali
Alhamdulilah
Hongera sana mkuu, bila shaka ni TANROADSHabari za muda huu
Na mimi nimelamba asali
Alhamdulilah
Hongera Sana mwamba Mungu akutangulie katika majukumu yako mapyaHabari za muda huu
Na mimi nimelamba asali
Alhamdulilah
Ile T. A ya NIT naamini automatic hautoitwa mkuu hata kama ulitukanda kwenye oral[emoji23][emoji23]Hii safari ni ngumu sana jamani, Kuna kukatishwa tamaa, nk
Mimi nilifanya assistant lecturerIle T. A ya NIT naamini automatic hautoitwa mkuu hata kama ulitukanda kwenye oral[emoji23][emoji23]
Pamoja sana mkuuMimi nilifanya assistant lecturer
Ww ulifanya nnMimi nilifanya assistant lecturer
T. A mkuuWw ulifanya nn
- halmashauriHongera sana mkuu, bila shaka ni TANROADS
......Psrs hawana baya, Kwahiyo hata ukiwa na Masters ukaomba nafasi za Bachelor degree mfumo haukatai?- halmashauri
Haukatai......Psrs hawana baya, Kwahiyo hata ukiwa na Masters ukaomba nafasi za Bachelor degree mfumo haukatai?
hongera sana mkuuMungu ni mwema kwa kila jambo baada ya safari ya interview zaidi ya 8 hatimaye leo nimedondokea kitu cha halmashauri.
honera sanaHabari za muda huu
Na mimi nimelamba asali
Alhamdulilah
Safi Legendary mwingine huyu hapa kachomoka , Hongera mkuuNamshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).
Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.
Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.
Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.
Daah noma sana,...hatimaye!! Hongera mzee, uzi utabaki na nani sasa!!!Namshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).
Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.
Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.
Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.
Aisee mkuu hongera sana, nliipenda sana motive yako ya kupush pdfNamshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).
Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.
Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.
Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.
Hivi ulishalamba asali mkuuSafi Legendary mwingine huyu hapa kachomoka , Hongera mkuu
Namshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).