Hongera , ulifanya written na oral au oral interview pekee ?Mtakwimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera , ulifanya written na oral au oral interview pekee ?Mtakwimu
written na oralHongera , ulifanya written na oral au oral interview pekee ?
Sina hakika na exactly figure ya PGSS 10, ila kama Warden II na non teaching staff wa vyuo vingine wanaanza na PGSS 6 ambayo ni 1.2M na TA ni 1.6M hapo unaweza kuona PGSS 10 ni kiasi gani lazima ivuke 1.8M
Naona waliweka pdf mbili ila Majina ni yaleyale....kaamua kuitoa hyo mojakuna pdf limetolewa
hongera sana zaiMUNGU NI MWEMA NIMELAMBA ASALI...
ahsanteehongera sana zai
ahsantee
nitashukuru😁Najitolea kukusindikiza Sumbawanga my sister[emoji3]
Balaauchungu wa kukosa kazi aujuaye jobless. j pili njema my fellow joblesses...
pamoja.uchungu wa kukosa kazi aujuaye jobless. j pili njema my fellow joblesses...
Wana page insta?IT kwenye page X anatuuliza kwamba ni wapi mtu amekwama watoe msaada[emoji3][emoji3]
Tumwambie atoe PDF Kila au vp wadauView attachment 2810723
Mungu ni mwema kila wakati.uchungu wa kukosa kazi aujuaye jobless. j pili njema my fellow joblesses...
apo sasa.yaani vurugu tupu..Mungu ni mwema kila wakati.
Changamoto ni kwamba, wenye ajira wanaomba ajira na wasionazo pia wanaomba.
#YNWA
Binafsi Kuna watu wa 3 hapa Halmashauri yetu wamelamba Tena asali ya TRA.apo sasa.yaani vurugu tupu..
Wameitwa lini kazini ili hali usaili wa oral toka ufanyike leo ni siku ya 6, na kwenye website ya TRA hakuna tangazo la watu kuitwa kazini mpaka sasa.Binafsi Kuna watu wa 3 hapa Halmashauri yetu wamelamba Tena asali ya TRA.
Hapa Halmashauri yetu walienda watu 6 kwenye oral interview.
Na written walikuwa kama 10..!!
Wote Hawa wanatoka halmashauri yetu moja tu, sasa hebu fanya mahesabu ya TZ nzima??
#YNWA