Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sina hakika na exactly figure ya PGSS 10, ila kama Warden II na non teaching staff wa vyuo vingine wanaanza na PGSS 6 ambayo ni 1.2M na TA ni 1.6M hapo unaweza kuona PGSS 10 ni kiasi gani lazima ivuke 1.8M

Mkuu hio scheme ya Muhas ya zamani mzee zilishashushwa kitambo sana...hizo scale hazipo juu hivyo kwa sasa
 
IT kwenye page X anatuuliza kwamba ni wapi mtu amekwama watoe msaada[emoji3][emoji3]

Tumwambie atoe PDF Kila au vp wadau
Screenshot_20231111-165244.jpg
 
apo sasa.yaani vurugu tupu..
Binafsi Kuna watu wa 3 hapa Halmashauri yetu wamelamba Tena asali ya TRA.

Hapa Halmashauri yetu walienda watu 6 kwenye oral interview.
Na written walikuwa kama 10..!!

Wote Hawa wanatoka halmashauri yetu moja tu, sasa hebu fanya mahesabu ya TZ nzima??

#YNWA
 
Wameitwa lini kazini ili hali usaili wa oral toka ufanyike leo ni siku ya 6, na kwenye website ya TRA hakuna tangazo la watu kuitwa kazini mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom