Tangazo gani lilikuwa la uongo mkuu?hao jamaa ni wangese naskia na maadvertisement mengine huwa ni ya uwongo ili kuwapotosha majobles wajue ajira zinatangazwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangazo gani lilikuwa la uongo mkuu?hao jamaa ni wangese naskia na maadvertisement mengine huwa ni ya uwongo ili kuwapotosha majobles wajue ajira zinatangazwa.
Chakula cha wa2 hichoSiku nimeenda PSRS naona vidada very beautiful vimekuja kuchukua barua za placement mmoja TAROAD mwingine TANAPA. Na sio kama wamebahatisha hapana hawa ni Civil Engineers. Ningekuwa sijao haki ningetangaza ndoa palepale.
Story za Maisha zinatofautiana Kabisa kuna watu wapo tayari kufanya Kazi Eneo Lolote lile hapa nchini Lengo lao ni kuweza kuyakabilia Majukumu ya kusaidia familia zao ambazo Yeye pekee yake ndy amefanywa Tumaini la Familia nzima.Wakati mnalilia kupangiwa kazi, basi mkumbuke kuwa katika kupangiwa huko kazi mnaweza kupelekwa Vijiji ambavyo kutoka Halmashauri husika ni zaidi ya 60KM
Kwahiyo sio mnafika huku mnaanza kuhaha kuanza kujutia na kulazimisha kuhama, vile unaitaka placement kwa hamu na shahuku basi ni hivo hivo uwe na shahuku ya kutaka kuhudumia Wananchi
Sio mnawaza kuondoa changamoto zenu tu za vipato bali mkumbuke mnatakiwa kwenda kutatua changamoto za Wanachi pia ndomana ukaenda shule hivo muwe na Passion na Taaluma zenu
Nimetoka kutembelea kituo changu cha kazi muda huu, na hizi mvua unaweza kutema bungu. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kimya kingi kina mshindo, pengine kuna suprise, ngoja tuendelee kusikilizia.Adverts, call for interview and placements pamekaukaaa! Hatari au ndo mambo mazuri yanakuja?????????
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Atupe mfano najua hawawezi fanya hivyo.Tangazo gani lilikuwa la uongo mkuu?
Umeongea vyema sana kiongozi binafsi naumiaga sana ninapoona wadau wanapangiwa kazi halaf wanataka kuhama.. Wakati sisi ma jobles tunatamani sana hizo fursa ili tuwatumikie wananchi kikamilifu.Wakati mnalilia kupangiwa kazi, basi mkumbuke kuwa katika kupangiwa huko kazi mnaweza kupelekwa Vijiji ambavyo kutoka Halmashauri husika ni zaidi ya 60KM
Kwahiyo sio mnafika huku mnaanza kuhaha kuanza kujutia na kulazimisha kuhama, vile unaitaka placement kwa hamu na shahuku basi ni hivo hivo uwe na shahuku ya kutaka kuhudumia Wananchi
Sio mnawaza kuondoa changamoto zenu tu za vipato bali mkumbuke mnatakiwa kwenda kutatua changamoto za Wanachi pia ndomana ukaenda shule hivo muwe na Passion na Taaluma zenu
Nimetoka kutembelea kituo changu cha kazi muda huu, na hizi mvua unaweza kutema bungu. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sekretarieti ya Ajira FANYIENI KAZI HILI.Kwenu PSRS tunaomba tena mtangaze nafasi za CDO'S au Community Development Officers uhitaji ni mkubwa sana kwenye nchi hii kila sehemu inabidi kuwepo CDO'S au utumike utaratibu kama ule wa Tamisemi kutangaza nafasi kisha mtu anaomba wao ndio wanapanga majina moja kwa moja.
Mtaani kugumu jamani, na muda wa kustafu unasogea kwa kasi mno ikiwa bado hatujalamba asali hata ya nyuki wakubwa.
Tutegee lolote leo upande wa either adverts au placements.
Mkuu, Mimi nadhani psrs ni kama wakala tu ambaye anapata oda kutoka taasisi hushika, akiambiwa leta watu analeta, vipi kama taasisi haziombi watu kwa wakati huo psrs atatoaje placements?Au PSRS inahujumiwa ili wanaopinga Taasisi kurudishiwa mamlaka ya kuajiri zenyewe wakose chakuongea!?
Sina uhakika na nilichowaza lakini bila ya wao kujitokeza hadharani na kutoa sababu zinazoeleweka za kuchelewesha placements, itafanya ndugu zetu wanaosaka ajira kuwaza mengi zaidi ambayo yapo au hayapo. Sekretarieti ya Ajira
Kwahiyo wanahujumiwa?Mkuu, Mimi nadhani psrs ni kama wakala tu ambaye anapata oda kutoka taasisi hushika, akiambiwa leta watu analeta, vipi kama taasisi haziombi watu kwa wakati huo psrs atatoaje placements?
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mkuu, Mimi nadhani psrs ni kama wakala tu ambaye anapata oda kutoka taasisi hushika, akiambiwa leta watu analeta, vipi kama taasisi haziombi watu kwa wakati huo psrs atatoaje placements?
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kwanini Tusiandike barua ya wazi kwa Raisi.Mkuu, mpaka unaona tangazo la watu kuitwa kwenye usaili na PSRS ni taasisi husika iliomba kibali cha ajira kwa Serikali na kupewa, ndipo hutumia PSRS kuuendesha mchakato wa ajira na hatimaye kuwapelekea taasisi husika idadi waliyoitaka kulingana na kibali.
Hatutakiwi kuwajibia kwa tunayodhani sisi ni sababu, bali ni tuwe na uhakika au ni wao waseme rasmi kiofisi ni nini hasa kinawakwamisha kutoa placements mapema?
Lengo ni waweze kulinda imani zao kwa waomba ajira.
naunga mkono hojaKwanini Tusiandike barua ya wazi kwa Raisi.