Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

kweli kabisa
Babu Spiritual Mimi nina Miaka 8 😢, kuna Mwana kamaliza Juzi Now Tayari .... Hivi umewahi jiuliza kuna Taasisi husikii kabisa au kuona Matangazo ya Ajira... Na kuna wafanyakazi wale wanatokea wapi? Au mbinguni... Ww mara ya mwisho kuona Post Ya TCRA mfano ni Mwaka 2000 na Ngapi?? Huo mfano kuna nyingi NSSF ,PSSF etc...Babu kwenye spiritual hapo niache 🤣🤣(jokes)
 
Hayo maswala ya sijui wakati wako haujafika ukija kwenye uhalisia mkuu hai function kabisa mkuu na huo ndo ukweli ukisema unasubiri mpaka wakati wako ufike mkuu tutafika mpaka 2039 na huku tunajipa moyo kuwa wakati haujafika binafsi siamini kwenye hilo, tukubaliane na uhalisia japo ni ukweli mchungu
 
wewe unaona shida ni nini mpaka umekaa muda wote huo(uukitaka kutatua tatizo lazima ujue chanzo cha tatizo
 
Hayo maswala ya sijui wakati wako haujafika ukija kwenye uhalisia mkuu hai function kabisa mkuu na huo ndo ukweli ukisema unasubiri mpaka wakati wako ufike mkuu tutafika mpaka 2039 na huku tunajipa moyo kuwa wakati haujafika binafsi siamini kwenye hilo, tukubaliane na uhalisia japo ni ukweli mchungu

Na hyo 2039 ndyo utakuwa wakati wako sahihi bro[emoji1430][emoji1430]kama unahisi 2039 siyo wakati sahihi basi komaa kesho uamkie ofisini ili uone jambo ukiliwaisha kabla ya muda wake ni jinsi gani moto [emoji91] utakuwakia...iko ivi leo tunanjaaa na familia zetu zinanjaa tukuka lakini iko ivi mwaka mmoja tu wa mafanikio yote Tammy a nyuma yatasahaulika na itabaki story

WENU KATI UBORA WANGU
KATIBU kivuli wa PSPR
DODOMA
 
PSPR ndio nn?
 
Acheni kelele leo20/11 kuna mikeka inafyatuliwa 1advertisment 2 ya usaili na 1 wa placement nawaibia Siri za kiofisi sasaa na nnahatarisha kazi yangu[emoji2958] saa 12jion mpka saa 2usiku kuna watu wata enjoy[emoji599][emoji3059]
Nimefuatilia reply zako nimegundua we we ni mchumia tumbo kaka sjsj tu.

Hauna lolote .
 
Back
Top Bottom