Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Na ukitaka kuona maajabu ya musa ,Si umetulia Hivi unashangaa Tangazo la kazi la Kada yako hiyo hiyo ambayo unajisemea Upo database , Watu hawajaanza kuitwa bado ....Ndio Utachako kabisa.
yaani ni upuuzi juu ya upuuzi
 
[emoji1787] [emoji1787] we ulikua unamzingatia.achana nae uyo anajuana na inno jembe [emoji1787][emoji1787]

[emoji28][emoji28]mi najuana nae tu kwakua ananirushiaga movie za kihindi pale kwenye kijiwe chake (library) tofauti na ivo simjui kwakwel I!? Mtu anang’ang’ania aonekane ana ki connection PSRS kumbe ni jobless square mnamuaminije[emoji28][emoji28][emoji28]afu anakwambia Kati ya 11-23 sasa kazi ya utumishi si nikutoa placement kwahyo jamaa ameotea between izo day lazima mkeka ushuke ili asepe na kijiji chake...afu kwa akili zake anajua IT ndo mwenye maamuzi ya kushusha mikeka bila watu wa juu kumwambia....all in all msibishane na watu wanaogongea WiFi za mahotelini kuleta mada zao humu[emoji28]
 
Group lilikuwa limetulia Lina Discus Vitu Vya Maana Anatokea Fundi AC, mmoja Mkuu una hali mbaya sana.
 
Ujue Mimi nashangaa Mkuu, Sijui hata katokea Wapi anataka kuhamisha Mada ya Watu wa utumishi tuanze ku discuss vitu vyengine Wakati watu miezi 6 inaenda now bila placement since Oral.
Malizaneni tudiscuss vitu vyenye maana ili kuwapush hawa jamaa ili hii wiki angalau zishuke pdf mbili zenye majina 50+ kwa kila moja
 
Back
Top Bottom