Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
Na ukitaka kuona maajabu ya musa ,Si umetulia Hivi unashangaa Tangazo la kazi la Kada yako hiyo hiyo ambayo unajisemea Upo database , Watu hawajaanza kuitwa bado ....Ndio Utachako kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani ni upuuzi juu ya upuuziNa ukitaka kuona maajabu ya musa ,Si umetulia Hivi unashangaa Tangazo la kazi la Kada yako hiyo hiyo ambayo unajisemea Upo database , Watu hawajaanza kuitwa bado ....Ndio Utachako kabisa.
Wataikalia Kama wanavyokalia PDF 🤣...Inahitajika tuwaandikie utmishi barua ya wazi juu ya haya malalamiko
Nakubaliana na wewe Tunaanza lini?Inahitajika tuwaandikie utmishi barua ya wazi juu ya haya malalamiko
watakuja kukalia na visivyokalika matako yaoWataikalia Kama wanavyokalia PDF 🤣...
🤣🤣🤣 Daah watu wamevurugwaaawatakuja kukalia na visivyokalika matako yao
Unadhani hawajui, haya malalamiko inabidi yamfikie Muheshimiwa Rais.Inahitajika tuwaandikie utmishi barua ya wazi juu ya haya malalamiko
Machoko alafu mengine yamo humuhumuUnadhani hawajui, haya malalamiko inabidi yamfikie Muheshimiwa Rais.
Wakafirimbweee mbeleeeMachoko alafu mengine yamo humuhumu
Tupangilie point za maana ambazo zitaketa suluhu juu ya hili janga, isiwe ilimradi tumeandikaNakubaliana na wewe Tunaanza lini?
Imfikie Raisi na Wizara ya utumishi.
[emoji1787] [emoji1787] we ulikua unamzingatia.achana nae uyo anajuana na inno jembe [emoji1787][emoji1787]
au tupate majina kamili ya huyo mshika pdf ili tukamtengeneze ngendewatakuja kukalia na visivyokalika matako yao
Group lilikuwa limetulia Lina Discus Vitu Vya Maana Anatokea Fundi AC, mmoja Mkuu una hali mbaya sana.[emoji28][emoji28]mi najuana nae tu kwakua ananirushiaga movie za kihindi pale kwenye kijiwe chake (library) tofauti na ivo simjui kwakwel I!? Mtu anang’ang’ania aonekane ana ki connection PSRS kumbe ni jobless square mnamuaminije[emoji28][emoji28][emoji28]afu anakwambia Kati ya 11-23 sasa kazi ya utumishi si nikutoa placement kwahyo jamaa ameotea between izo day lazima mkeka ushuke ili asepe na kijiji chake...afu kwa akili zake anajua IT ndo mwenye maamuzi ya kushusha mikeka bila watu wa juu kumwambia....all in all msibishane na watu wanaogongea WiFi za mahotelini kuleta mada zao humu[emoji28]
🤣🤣au tupate majina kamili ya huyo mshika pdf ili tukamtengeneze ngende
Ujue Mimi nashangaa Mkuu, Sijui hata katokea Wapi anataka kuhamisha Mada ya Watu wa utumishi tuanze ku discuss vitu vyengine Wakati watu miezi 6 inaenda now bila placement since Oral.innojembe na ITpersonel hivi hamkumaliza mjadala wenu.?
Kama unauhakika anayo pdf lakini hataki kutuma kwa sababu zake binafsi weka jina lake hapa tumfanyie kitu[emoji1787][emoji1787]
Malizaneni tudiscuss vitu vyenye maana ili kuwapush hawa jamaa ili hii wiki angalau zishuke pdf mbili zenye majina 50+ kwa kila mojaUjue Mimi nashangaa Mkuu, Sijui hata katokea Wapi anataka kuhamisha Mada ya Watu wa utumishi tuanze ku discuss vitu vyengine Wakati watu miezi 6 inaenda now bila placement since Oral.