innojembe
Senior Member
- Mar 20, 2023
- 186
- 403
innojembe na ITpersonel hivi hamkumaliza mjadala wenu.?
Naombeni mtupishe kwanz muda wetu huu wa kucharurana kdgo na hii kenge [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
innojembe na ITpersonel hivi hamkumaliza mjadala wenu.?
[emoji16][emoji16]Naombeni mtupishe kwanz muda wetu huu wa kucharurana kdgo na hii kenge [emoji28]
Group lilikuwa limetulia Lina Discus Vitu Vya Maana Anatokea Fundi AC, mmoja Mkuu una hali mbaya sana.
Babu hapa Tunaongea Wote watu wa Madgree wewe ,umeona wapi Degree ya Ufundi fridgi Boss...Wewe Nenda kuna Group kule la Fundi Mchundo ndio kwako...Humu ndio maana huelewi kinachoendelea .... Hivi kwanni kila Mbona Akili zenu kama mbili kasoro..Naombeni mtupishe kwanz muda wetu huu wa kucharurana kdgo na hii kenge [emoji28]
Babu hapa Tunaongea Wote watu wa Madgree wewe ,umeona wapi Degree ya Ufundi fridgi Boss...Wewe Nenda kuna Group kule la Fundi Mchundo ndio kwako...Humu ndio maana huelewi kinachoendelea .... Hivi kwanni kila Mafuni Mbona Akili zenu kama mbili kasoro..Naombeni mtupishe kwanz muda wetu huu wa kucharurana kdgo na hii kenge [emoji28]
Babu hapa Tunaongea Wote watu wa Madgree wewe ,umeona wapi Degree ya Ufundi fridgi Boss...Wewe Nenda kuna Group kule la Fundi Mchundo ndio kwako...Humu ndio maana huelewi kinachoendelea .... Hivi kwanni kila Mafundi Mbona Akili zenu kama mbili kasoro..Naombeni mtupishe kwanz muda wetu huu wa kucharurana kdgo na hii kenge [emoji28]
Malizaneni tudiscuss vitu vyenye maana ili kuwapush hawa jamaa ili hii wiki angalau zishuke pdf mbili zenye majina 50+ kwa kila moja
Yani humu wenzio wana Kudis Umetokea Wapi ...? Au mpka nikutumie screenshoot ili uanze League na wengi 🤣🤣 Babu kuna Group La Mafundi Mchundo Wenzio... Hivi WEWE kweli unataka kutoboa Unaweza kusomea Ufundi Friji sasa hata ukitaka Kuiba kazini unaiba nini ?? Mafriji au??Anatokea fundi AC mmoja alisemaliza kufanya kazi mchana kutwa na amekunja 200k + kuja kuvuruga vitu vya maana vinavyoongelewa vilivochoma zaidi ya 5GB+ tangu asubuhi bila ya huruma na IT wa PSRS yuko machame muda huu anakunywa mbege akitegemea kurudi January 7
Babu hapa Tunaongea Wote watu wa Madgree wewe ,umeona wapi Degree ya Ufundi fridgi Boss...Wewe Nenda kuna Group kule la Fundi Mchundo ndio kwako...Humu ndio maana huelewi kinachoendelea .... Hivi kwanni kila Mafundi Mbona Akili zenu kama mbili kasoro..
Kama unauhakika anayo pdf lakini hataki kutuma kwa sababu zake binafsi weka jina lake hapa tumfanyie kitu
Kama unauhakika anayo pdf lakini hataki kutuma kwa sababu zake binafsi weka jina lake hapa tumfanyie kitu
Una Bachelor Ya Mechanical Engineer Alafu huna ID hata Mmoja, Sasa Si bora uvichome Moto.... Unaitwa kazi za Bunge, Leo umetoka job Umepata sijui umeandika laki 2...Mdogo angu akili zako ndogo sana sisi wenyew hizo elimu tulikua nazo tulivoona tutakufa njaa na atuwezi kukaa nyumban na midevu yetu ikabidi tutoke nje kidogo kutafuta elimu ya u technician na mpka sasa AlhamdulilaH tunaishi angalau tofauti na jana yani tunasubiria PLACEMENT uku tunaendelea kutafuta 100,200 zetu kila siku kwahyo makali ya placement hayaji moja kwa moja kama wengine (wewe)[emoji28] kwahyo kitu naweza kukushauri ni kwamba degree ulionayo kwa sasa si kitu kwasababu haujaanza kui apply practically tofauti na kuchonga mdomo humu ndani kuwafundisha kazi PSRS[emoji23][emoji23] mi mwenyew vyeti vyangu vya bachelor (MECHANICAL ENGINEERING) viko chini ya begi na sijui nitavitumia lini ila by practical navitumia sasaivi kwenye hizi hizi kazi zangu unazoziita UFUNDI FRIJI which is relevant with....... when I do service,maintenance or repair of COLD ROOMS,AUTOMOBILE AC,FLAKE ICE MACHINE. Na kadharika basi utumia knowledge ya MACHANICAL.... that’s Is My short INTRO.[emoji28]
Yani Mimi uliponichosha ulivyoniambia kuna Degree ya kutengeza Mafridgi..... Nikajua Hili Dishi limeelekea Kibaigwa 🤣Mdogo angu akili zako ndogo sana sisi wenyew hizo elimu tulikua nazo tulivoona tutakufa njaa na atuwezi kukaa nyumban na midevu yetu ikabidi tutoke nje kidogo kutafuta elimu ya u technician na mpka sasa AlhamdulilaH tunaishi angalau tofauti na jana yani tunasubiria PLACEMENT uku tunaendelea kutafuta 100,200 zetu kila siku kwahyo makali ya placement hayaji moja kwa moja kama wengine (wewe)[emoji28] kwahyo kitu naweza kukushauri ni kwamba degree ulionayo kwa sasa si kitu kwasababu haujaanza kui apply practically tofauti na kuchonga mdomo humu ndani kuwafundisha kazi PSRS[emoji23][emoji23] mi mwenyew vyeti vyangu vya bachelor (MECHANICAL ENGINEERING) viko chini ya begi na sijui nitavitumia lini ila by practical navitumia sasaivi kwenye hizi hizi kazi zangu unazoziita UFUNDI FRIJI which is relevant with....... when I do service,maintenance or repair of COLD ROOMS,AUTOMOBILE AC,FLAKE ICE MACHINE. Na kadharika basi utumia knowledge ya MACHANICAL.... that’s Is My short INTRO.[emoji28]
Dogo Kayatimba ,kakuta watu tuna jazba na IT wa utumishi ngoja tumuhamishie hasira 🤣🤣kivumbi leo 😂
🤣 🤣 🤣Yani Mimi uliponichosha ulivyoniambia kuna Degree ya kutengeza Mafridgi..... Nikajua Hili Dishi limeelekea Kibaigwa 🤣
Dogo anazingua yani mtaani kila day wanauliza hivi hayo majibu badoo tu au uli fail... Alafu yeye anakuja dandia Gari kwa mbele🤣 🤣 🤣
Shughuli imeisha tutarajie pdf kuanzia Kesho, leo usiku naweka mambo sawa, wanangu tunaosubiri asali tuandae nauliIT wa PSRS anaitwa ALLOYCE NYANDA MTOZI
kwa wazoefu wa kuangalia kioo cha mzungu nahisi mnamfahamu