Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Group lilikuwa limetulia Lina Discus Vitu Vya Maana Anatokea Fundi AC, mmoja Mkuu una hali mbaya sana.

Anatokea fundi AC mmoja alisemaliza kufanya kazi mchana kutwa na amekunja 200k + kuja kuvuruga vitu vya maana vinavyoongelewa vilivochoma zaidi ya 5GB+ tangu asubuhi bila ya huruma na IT wa PSRS yuko machame muda huu anakunywa mbege akitegemea kurudi January 7
 
Naombeni mtupishe kwanz muda wetu huu wa kucharurana kdgo na hii kenge [emoji28]
Babu hapa Tunaongea Wote watu wa Madgree wewe ,umeona wapi Degree ya Ufundi fridgi Boss...Wewe Nenda kuna Group kule la Fundi Mchundo ndio kwako...Humu ndio maana huelewi kinachoendelea .... Hivi kwanni kila Mbona Akili zenu kama mbili kasoro..
 
Naombeni mtupishe kwanz muda wetu huu wa kucharurana kdgo na hii kenge [emoji28]
Babu hapa Tunaongea Wote watu wa Madgree wewe ,umeona wapi Degree ya Ufundi fridgi Boss...Wewe Nenda kuna Group kule la Fundi Mchundo ndio kwako...Humu ndio maana huelewi kinachoendelea .... Hivi kwanni kila Mafuni Mbona Akili zenu kama mbili kasoro..
 
Naombeni mtupishe kwanz muda wetu huu wa kucharurana kdgo na hii kenge [emoji28]
Babu hapa Tunaongea Wote watu wa Madgree wewe ,umeona wapi Degree ya Ufundi fridgi Boss...Wewe Nenda kuna Group kule la Fundi Mchundo ndio kwako...Humu ndio maana huelewi kinachoendelea .... Hivi kwanni kila Mafundi Mbona Akili zenu kama mbili kasoro..
 
Malizaneni tudiscuss vitu vyenye maana ili kuwapush hawa jamaa ili hii wiki angalau zishuke pdf mbili zenye majina 50+ kwa kila moja

Kwa nlivoskia ni kwamba IT wa PSRS kesho saa 6-7 anashusha mkeka wa interview za MDs na LGs afu alhamis ndo anaweka PLACEMENT za nyuki na nyingu
 
Anatokea fundi AC mmoja alisemaliza kufanya kazi mchana kutwa na amekunja 200k + kuja kuvuruga vitu vya maana vinavyoongelewa vilivochoma zaidi ya 5GB+ tangu asubuhi bila ya huruma na IT wa PSRS yuko machame muda huu anakunywa mbege akitegemea kurudi January 7
Yani humu wenzio wana Kudis Umetokea Wapi ...? Au mpka nikutumie screenshoot ili uanze League na wengi 🤣🤣 Babu kuna Group La Mafundi Mchundo Wenzio... Hivi WEWE kweli unataka kutoboa Unaweza kusomea Ufundi Friji sasa hata ukitaka Kuiba kazini unaiba nini ?? Mafriji au??
 
Babu hapa Tunaongea Wote watu wa Madgree wewe ,umeona wapi Degree ya Ufundi fridgi Boss...Wewe Nenda kuna Group kule la Fundi Mchundo ndio kwako...Humu ndio maana huelewi kinachoendelea .... Hivi kwanni kila Mafundi Mbona Akili zenu kama mbili kasoro..

Mdogo angu akili zako ndogo sana sisi wenyew hizo elimu tulikua nazo tulivoona tutakufa njaa na atuwezi kukaa nyumban na midevu yetu ikabidi tutoke nje kidogo kutafuta elimu ya u technician na mpka sasa AlhamdulilaH tunaishi angalau tofauti na jana yani tunasubiria PLACEMENT uku tunaendelea kutafuta 100,200 zetu kila siku kwahyo makali ya placement hayaji moja kwa moja kama wengine (wewe)[emoji28] kwahyo kitu naweza kukushauri ni kwamba degree ulionayo kwa sasa si kitu kwasababu haujaanza kui apply practically tofauti na kuchonga mdomo humu ndani kuwafundisha kazi PSRS[emoji23][emoji23] mi mwenyew vyeti vyangu vya bachelor (MECHANICAL ENGINEERING) viko chini ya begi na sijui nitavitumia lini ila by practical navitumia sasaivi kwenye hizi hizi kazi zangu unazoziita UFUNDI FRIJI which is relevant with....... when I do service,maintenance or repair of COLD ROOMS,AUTOMOBILE AC,FLAKE ICE MACHINE. Na kadharika basi utumia knowledge ya MACHANICAL.... that’s Is My short INTRO.[emoji28]
 
Bila shaka mpo salama humu ndani.

Naomba ABC za walioitwa Asalini TRA kama haki ilitendeka japo kwa kuangalia picha(nimeziona kule Twitter, nina imani na ninyi mumeziona) na kubaini majobless wa ukweli sio wale wa mchongo.

Hata hivyo nawapongeza maana kuna majobless ambao ujobless wao ulikuwa umefubaa maana wamenawiri sana [emoji3][emoji3][emoji3](nisitafsiriwe vibaya, kunawiri sio dhambi), ukilingnisha na jobless wenye ujobless active
 
Mdogo angu akili zako ndogo sana sisi wenyew hizo elimu tulikua nazo tulivoona tutakufa njaa na atuwezi kukaa nyumban na midevu yetu ikabidi tutoke nje kidogo kutafuta elimu ya u technician na mpka sasa AlhamdulilaH tunaishi angalau tofauti na jana yani tunasubiria PLACEMENT uku tunaendelea kutafuta 100,200 zetu kila siku kwahyo makali ya placement hayaji moja kwa moja kama wengine (wewe)[emoji28] kwahyo kitu naweza kukushauri ni kwamba degree ulionayo kwa sasa si kitu kwasababu haujaanza kui apply practically tofauti na kuchonga mdomo humu ndani kuwafundisha kazi PSRS[emoji23][emoji23] mi mwenyew vyeti vyangu vya bachelor (MECHANICAL ENGINEERING) viko chini ya begi na sijui nitavitumia lini ila by practical navitumia sasaivi kwenye hizi hizi kazi zangu unazoziita UFUNDI FRIJI which is relevant with....... when I do service,maintenance or repair of COLD ROOMS,AUTOMOBILE AC,FLAKE ICE MACHINE. Na kadharika basi utumia knowledge ya MACHANICAL.... that’s Is My short INTRO.[emoji28]
Una Bachelor Ya Mechanical Engineer Alafu huna ID hata Mmoja, Sasa Si bora uvichome Moto.... Unaitwa kazi za Bunge, Leo umetoka job Umepata sijui umeandika laki 2...

Sasa kazi moja ya laki 2, una uhakika kwa mwezi hukosi kazi 3 hadi 10... Sasa si bora utulie huko kuliko Kufata Mshahara wa TGSB... Unajua TGSB na makato makato ina rudi humo humo kwenye hela yako ya siku??

Maana wewe huna Per diem huna Safari, Safari uende wapi wakati mafridgi yapo humo humo.

Unajua mtu mpka anaitwa akafanye kazi Bunge hawezi lipwa elfu 39,000/=.

Mkuu ndio maana baada ya Bachelor ya mechanical nimejua kwann umerudi kusomea Ufundi Fridgi nishajua tatizo lipo wapi.
 
Mdogo angu akili zako ndogo sana sisi wenyew hizo elimu tulikua nazo tulivoona tutakufa njaa na atuwezi kukaa nyumban na midevu yetu ikabidi tutoke nje kidogo kutafuta elimu ya u technician na mpka sasa AlhamdulilaH tunaishi angalau tofauti na jana yani tunasubiria PLACEMENT uku tunaendelea kutafuta 100,200 zetu kila siku kwahyo makali ya placement hayaji moja kwa moja kama wengine (wewe)[emoji28] kwahyo kitu naweza kukushauri ni kwamba degree ulionayo kwa sasa si kitu kwasababu haujaanza kui apply practically tofauti na kuchonga mdomo humu ndani kuwafundisha kazi PSRS[emoji23][emoji23] mi mwenyew vyeti vyangu vya bachelor (MECHANICAL ENGINEERING) viko chini ya begi na sijui nitavitumia lini ila by practical navitumia sasaivi kwenye hizi hizi kazi zangu unazoziita UFUNDI FRIJI which is relevant with....... when I do service,maintenance or repair of COLD ROOMS,AUTOMOBILE AC,FLAKE ICE MACHINE. Na kadharika basi utumia knowledge ya MACHANICAL.... that’s Is My short INTRO.[emoji28]
Yani Mimi uliponichosha ulivyoniambia kuna Degree ya kutengeza Mafridgi..... Nikajua Hili Dishi limeelekea Kibaigwa 🤣
 
Back
Top Bottom